Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Kwan hata Lisu zaidi ya kuwapigia stories huko majukwaani, ana nini?
Homeboy Membe kwa sasa anachokifanya ni kuwachanganya CCM huku Lissu akiwapoga spanner.
Yaani ACT hawana mpango kabisa na kampeni za Uraisi wanapiga kampeni za wabunge,technically wamemuunga mkono Lissu. Ila huu mchezo umechezwa smart sana maana pale mwanzo CCM walishindwa wadili na nani Lissu au Membe kuja kustuka gari la Lissu lipo speed ya 5G.
Na wananchi wanavopenda kumsikiliza Lissu... Yaani hawasombwi... Hawapewi fiesta... Lakini bado wanajaa kuliko kwingineko...!!
Lissu anawajua Watanzania vjzuri sana,wabongo hawapendagi mambo magumu kama anayoongea Lipumba na Zitto. Wabongo wanapenda vijembe na gossip,CCM walikuwa wanatumia sana style hii sasa safari Lissu anawapiga spanner kwa style hiyo huku Magufuli akinadi mandege na reli.
Lipumba alikuwa anaongea point tu lakini Mkapa akija anasema huyo professor uchwara tu hana anacbokijua,Mara hana mke wala familia. Mwaka huu CCM wanalia wao eti wanatukanwa.
Balaa taslimu na nusu yake... Hakika maji yamekorogeka yakalowa...
Kuliko huyuu Lissu, bora ata Membe mara miamojaa, leo akiwa hapa kwetu Sumbawanga kadanganya eti treni ya Kaliua hadi Mpanda haifanyi kazi. Halafu akasema atajenga reli hadi momba, sijui kwa nini huyumgombea anajichanganya kila siku, wao chadema si hawapendi ujenzi wa miundombinu ya maendeleo, kwamba nikuhalibu fedha za umaa? Sasa nawao wakotayari kwa hayomatumizi mabaya ya fedha??Lissu amerejea na hamasa na amsha amsha zenye manufaa makubwa sana kwa Taifa letu... Bila huyu Lissu uchaguzi wa mwaka huu ungerekodi idadi ndogo ya wapiga kura ambayo isingetosha kumpa mgombea yeyote ushindi wenye ridhaa ya kuongoza...!!
Tendeni haki... na ionekane inatendeka... tofauti na hapo sidhani kama kutakuwa salama...
Kuliko huyuu lisu, bora ata membe mara miamojaa, leo akiwa hapa kwetu sumbawanga kadanganya eti tren ya kaliua hadi mpanda haifanyi kazi. Halafu akasema atajenga reli hadi momba, sijui kwa nini huyumgombea anajichanganya kila siku, wao chadema si hawapendi ujenzi wa miundombinu ya maendeleo, kwamba nikuhalibu fedha za umaa? Sasa nawao wakotayari kwa hayomatumizi mabaya ya fedha??
NAYE NDIYE ALIYETUKANA WATUMISHI WA UMA NI TAKATAKA ZA JALALANI AKIWA PALE MBEYA MJINI??Wa kwenu anajichanganya hadi anatukana hasa asipomeza dawa zake zile zinazomuumua sura...
NAYE NDIYE ALIYETUKANA WATUMISHI WA UMA NI TAKATAKA ZA JALALANI AKIWA PALE MBEYA MJINI??