Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 999
- 1,683
Kwahiyo kura za Membe atapewa Lisu?
Unauliza ndevu Afghanistan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kura za Membe atapewa Lisu?
Rais bora kuliko wote kwenye hizi mbio, ni Magufuli peke yake. Mzalendo namba 1.
Jina la Membe halitakuwepo kwenye form ya kura?
China ipi unayoongelea wewe???Kumbe Reli nlidhani SGR ya Trillion zaidi ya 7? Kwahiyo uliambiwa akikosoa Flyover basi hatojenga? Lissu anasema balancing ndio muhimu yaani wakati unanunua ndege 4 basi pesa ya ndege zingine nne peleka kwa kilimo cha umwagiliaji n.k
sio kwamba usifufue ndege kabisa. Point yake ni maendeleo ya watu yaani maendeleo yawe centered kwa human capital na sio miundombinu alafu anayeitumia hana kitu. Yatatukuta ya china ambapo uchumi unapaa ila wananchi ni maskini wa kutupwa!! Cheap labor!
Hii unayoifahamu ww mfanyakazi wa china utalinganisha maslahi yake na wa western world? Unajua Kwanini licha ya kuwa na GDP growth kubwa bado inabaki kwenye emerging economies na sio developed nation kma Japan?!China ipi unayoongelea wewe???
Wewe kama mimi mkuu.Kati ya binadamu ambao sijawahi kuwaelewa Membe ni mmojawapo
Hovyo kabisaaa. Umejifunzia wapi au umesikia jamaa yenu akipayukapayuka tuuu.Hujui hata kujenga hoja maskini. Maendeleo ya miondombinu yaendane na maendeleo ya watu (social welfare)
Economic development towards economic growth hiki ndicho anachokiongelea Tundu Lissu.
Kama hauna hata chembe ya knowledge ya maendeleo ambayo watanzania na hata dunia ya kwanza ndipo ilipoanzia usibebwe na hoja hizo maana zitadhihirisha ujinga uliokujaa kichwani.
Mbuzi mama akoWewe mbuzi, Lissu Angekuwa anapiga story ungetaja jina lake hapa?😀