Uchaguzi 2020 Bernard Membe awe mtazamaji tu kwenye kuwania Urais

Uchaguzi 2020 Bernard Membe awe mtazamaji tu kwenye kuwania Urais

Na asitafute kiki kwa pikipiki.. pia asitumike, atulie tuli.
 
Bora hata tusingeharibu fedha za uchaguzi maana wagombea wanaochuana na Rais wetu ndio Kama hawa.
 
Kuliko huyuu lisu, bora ata membe mara miamojaa, leo akiwa hapa kwetu sumbawanga kadanganya eti tren ya kaliua hadi mpanda haifanyi kazi. Halafu akasema atajenga reli hadi momba, sijui kwa nini huyumgombea anajichanganya kila siku, wao chadema si hawapendi ujenzi wa miundombinu ya maendeleo, kwamba nikuhalibu fedha za umaa? Sasa nawao wakotayari kwa hayomatumizi mabaya ya fedha??
Kumbe Reli nlidhani SGR ya Trillion zaidi ya 7? Kwahiyo uliambiwa akikosoa Flyover basi hatojenga? Lissu anasema balancing ndio muhimu yaani wakati unanunua ndege 4 basi pesa ya ndege zingine nne peleka kwa kilimo cha umwagiliaji n.k

sio kwamba usifufue ndege kabisa. Point yake ni maendeleo ya watu yaani maendeleo yawe centered kwa human capital na sio miundombinu alafu anayeitumia hana kitu. Yatatukuta ya china ambapo uchumi unapaa ila wananchi ni maskini wa kutupwa!! Cheap labor!
 
NAYE NDIYE ALIYETUKANA WATUMISHI WA UMA NI TAKATAKA ZA JALALANI AKIWA PALE MBEYA MJINI??
Ile ilikuwa banter kwa Kabudi aliyesema ameokotwa jalalani!! So it was more of a sattire ila mnaigeuza propaganda mkidhani waTZ ni wajinga.

Nadhani Nyanda za juu kusini wametuma ujumbe. Poleni sana
 
Nimekuwa nikifuatilia kauli za Bernard Membe kuanzia alipoteuliwe kuwa mgombea wa ACT Wazalendo.

The man is very soft. So naive. Bora hata Lowassa wa 2015. Yaani anaongea kama ananong'oneza fulani hivi hataki asikike. Anaibua mashaka mengi sana!

Nashauri watu wake wa karibu wamjulishe kuwa ni bora mara 100 akajiweka pembeni hadi baada ya uchaguzi.

Yaani anazidiwa hadi na JPM.
Uyo mzee ni hana lolote taarabu kibao
 
Kuliko huyuu Lissu, bora ata Membe mara miamojaa, leo akiwa hapa kwetu Sumbawanga kadanganya eti treni ya Kaliua hadi Mpanda haifanyi kazi. Halafu akasema atajenga reli hadi momba, sijui kwa nini huyumgombea anajichanganya kila siku, wao chadema si hawapendi ujenzi wa miundombinu ya maendeleo, kwamba nikuhalibu fedha za umaa? Sasa nawao wakotayari kwa hayomatumizi mabaya ya fedha??
Bora kidogo uyu je anaongea mikojo na kujikataa.
EiJBwR6WsAEATpX.jpeg
 
Na amesema kwa sasa focus yake ya uchaguzi bado sana anajikita kwanza kumnasua kijana wake aliyekamatwa na polisi kwa tuhuma za kutakasa pesa chafu [emoji1787]
Membe kiboko, naona anawachanganya sana huko ugambani, tatizo jiwe hana plan A wala B, yeye ndio kila kitu, sasa this time jiwe atakula jeuli yake, maana hata uko ugambani wameshamchoka.
 
Back
Top Bottom