Uchaguzi 2020 Bernard Membe awe mtazamaji tu kwenye kuwania Urais

Na asitafute kiki kwa pikipiki.. pia asitumike, atulie tuli.
 
Bora hata tusingeharibu fedha za uchaguzi maana wagombea wanaochuana na Rais wetu ndio Kama hawa.
 
Kumbe Reli nlidhani SGR ya Trillion zaidi ya 7? Kwahiyo uliambiwa akikosoa Flyover basi hatojenga? Lissu anasema balancing ndio muhimu yaani wakati unanunua ndege 4 basi pesa ya ndege zingine nne peleka kwa kilimo cha umwagiliaji n.k

sio kwamba usifufue ndege kabisa. Point yake ni maendeleo ya watu yaani maendeleo yawe centered kwa human capital na sio miundombinu alafu anayeitumia hana kitu. Yatatukuta ya china ambapo uchumi unapaa ila wananchi ni maskini wa kutupwa!! Cheap labor!
 
NAYE NDIYE ALIYETUKANA WATUMISHI WA UMA NI TAKATAKA ZA JALALANI AKIWA PALE MBEYA MJINI??
Ile ilikuwa banter kwa Kabudi aliyesema ameokotwa jalalani!! So it was more of a sattire ila mnaigeuza propaganda mkidhani waTZ ni wajinga.

Nadhani Nyanda za juu kusini wametuma ujumbe. Poleni sana
 
Uyo mzee ni hana lolote taarabu kibao
 
Bora kidogo uyu je anaongea mikojo na kujikataa.
 
Na amesema kwa sasa focus yake ya uchaguzi bado sana anajikita kwanza kumnasua kijana wake aliyekamatwa na polisi kwa tuhuma za kutakasa pesa chafu [emoji1787]
Membe kiboko, naona anawachanganya sana huko ugambani, tatizo jiwe hana plan A wala B, yeye ndio kila kitu, sasa this time jiwe atakula jeuli yake, maana hata uko ugambani wameshamchoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…