Uchaguzi 2020 Bernard Membe awe mtazamaji tu kwenye kuwania Urais

Ukiwa na mentality fulani ni vigumu sana kumuelewa Lissu.
 

We bwana hiyo para ya pili umeniumiza mbavu zangu kwa kucheka
 

Soma ilani yao mbona wameiwekabkwenye mitandao humu mtu mzima na mwenye uwezo wa kusoma mbona unajiaibisha nsni kasema miundo mbinu haitakiwi CHADEMA wanasema wafanya kazi wasinyimwe nyongeza za mishahara kwa kisingizio cha kujenga miundo mbinu ijengwe huku wafanyakazi wanalipwa nyongeza ya mshahara na wastaafu wanalipwa pension yao
 
Kwan hata Lissu zaidi ya kuwapigia stories huko majukwaani, ana nini?
Umewahi kufukuzwa kazi
Siku ukikosa mshahara ndio utajua hii dunia kuna mtu ameumba

Kwa kuwa unapokea mshahara kutokana na kodi za wananchi unajisahau

Kuna siku utafukuzwa kazi utakosa hata pesa ya dawa ya meno

Usijisahau sana ,Haupo salama sana kazini
 
YAAANI NIHARIBU SIMU YANGU NA MB ZANGU, NADOWNLOAD ILAN YA CHADEMA KWELII??
 
Tulia dawa ya Lissu ukuingie vzr
 
YAAANI NIHARIBU SIMU YANGU NA MB ZANGU, NADOWNLOAD ILAN YA CHADEMA KWELII??

Haya ni maajabu!!
Yaani wewe unaona fahari kutumia MB zako miaka yote kudownload ilani ile ile iliyotufikisha hapa tulipo ikiandikwa na watu wale wale kwa mtindo ule ule...
Ilani ambazo zinatoa ahadi zile zile zisizotekelezeka tangu nchi ipate Uhuru hadi kesho ipite...!!
Yaani wewe unaona fahari sana kuzingatia ilani ambayo wakishafika huko wanakotaka wanaiweka pembeni na kuanza kubuni na kutekeleza yasiyokuwamo...
Poor reasoning from a person like you who spent so many years at school...!!
Umenifikirisha sana Mkuu...
 
Membe ni Lowassa aliyechangamka!
 
Hujui hata kujenga hoja maskini. Maendeleo ya miondombinu yaendane na maendeleo ya watu (social welfare)
Economic development towards economic growth hiki ndicho anachokiongelea Tundu Lissu.
Kama hauna hata chembe ya knowledge ya maendeleo ambayo watanzania na hata dunia ya kwanza ndipo ilipoanzia usibebwe na hoja hizo maana zitadhihirisha ujinga uliokujaa kichwani.
 
Rais bora kuliko wote kwenye hizi mbio, ni Magufuli peke yake. Mzalendo namba 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…