Uchaguzi 2020 Bernard Membe hana kabisa mvuto!

Kikwete anawazidi wote Lissu, Magufuli, Membe..

Charisma na mvuto Tz since independence ni Nyerere na Kikwete

Waliosalia wote wanababia babia
Uko correct 100%

Mchonga na mkwere Wana charisma
 
CCM inabeba makokoro sana aise, yani huyu anafaa awe mwenyekiti kikao cha mirathi
 
Wewe jamaa ni mpumbavu.

Anna Mugwira afanye kampeni hakafu Membe eti ashindwe Kwasababu za ukata!!!

Unachekesha aisee

..Anna Mghwira alipata kura ngapi?

..Zilikuwa na faida gani kwa chama?

..Je, ulitaka Membe azunguke-zunguke nchi nzima bila faida, wala tija, kwa chama na upinzani kwa ujumla?
 
..Anna Mghwira alipata kura ngapi?

..Zilikuwa na faida gani kwa chama?

..Je, ulitaka Membe azunguke-zunguke nchi nzima bila faida, wala tija, kwa chama na upinzani kwa ujumla?
Aisee.

Wewe ulitaka apate kura ngapi ili kwako uone zina faida tena kwa mgombea mpya mwanamke na chama kipya ambacho kilishiriki uchaguzi kwa mara ya kwanza ?
 
Aisee.

Wewe ulitaka apate kura ngapi ili kwako uone zina faida tena kwa mgombea mpya mwanamke na chama kipya ambacho kilishiriki uchaguzi kwa mara ya kwanza ?

..kulikuwa na uwezekano wa TL kuenguliwa na Tume.

..hilo lingetokea Membe angekuwa mbadala wa Tundu Lissu.

..huo ndio ulikuwa mkakati wa pamoja wa ACT na CDM.
 
..kulikuwa na uwezekano wa TL kuenguliwa na Tume.

..hilo lingetokea Membe angekuwa mbadala wa Tundu Lissu.

..huo ndio ulikuwa mkakati wa pamoja wa ACT na CDM.
Sasa kama mkakatu unajulikana wazi hapa, kinachofanya watu wanakuwa na endless arguments humu nini ?

Mara Membe yuko kimya, mara hana mvuto mara sijui nini.

Wakati tushajua ACT na CHADEMA lao moja. Na the best option kwa Membe ni kukaa kimya asuchanganye wapiga kura.
 
..Nakubaliana na wewe.

..hata wagombea wa vyama vingine vya upinzani nadhani ni busara wamuunge mkono Tundu Lissu.

..tena wakifanya hivyo kwa umoja wao Nec haitaweza kuwakoromea.
 
..Nakubaliana na wewe.

..hata wagombea wa vyama vingine nadhani ni busara wamuunge mkono Tundu Lissu.
Na CHADEMA wanapaswa zaidi kushukuru kwa hilo Kwasababu ACT hawakuwa cha kupoteza hata kama wangesimamisha mgombea.

Kwanza mpaka sasa majukwaani kungekuwa ni kurushiana vijembe tu kati yenu misukule ya vyama huku CCM wakichekelea.
 
..umesema kweli.
 
Mzee wa niguse ni nuke
Kaguswa kanukaa
 
Kikao gani kiliamua hivyo?
..kulikuwa na uwezekano wa TL kuenguliwa na Tume.

..hilo lingetokea Membe angekuwa mbadala wa Tundu Lissu.

..huo ndio ulikuwa mkakati wa pamoja wa ACT na CDM.
 
Hahaahahah pia watu wanatakiwa kujua kua CCM KAMA DINI UKINGIA MSIKITINI AMA KANISANI LAZMA IMANI IKUJAE SO UKINGIA KWENYE CHUMBA CHA MPIGA KURA TUU AKILI INAJAA KWA CCM, HATA KAMA HUKUPANGA UNAJIKUTA UMEPGA KWA CHAMA LA WANA
 
Ile ilikuwa ushabiki maadazi. Wakiaminishwa wanafuata hakuna kujiuliza kama nanihiii.
Mkuu watu walikua serious maana uncertainty juu ya Lissu kurudi nchini ama kupitishwa na NEC agombee.

Motive nyingine ilikua sio kwamba wana mapenzi sana na Membe bali upinzani unapenda kuona CCM inapasuka ili waingie kwenye uchaguzi wako vipande kma 2015! So inakua more of kuikomoa CCM kuliko kumhitaji sana Membe!!

All in all Membe amekuja kama Sumaye 2015, back up just in case mgombea aliyetarajiwa angepingwa na tume ama kutoweza fika mwisho wa kampeni.

Nadhani siku akizingumza tutayajua mengi for now ni speculation tu
 
Hivi lengo la upinzani ni kumtoa Magu au ccm?
Maana mlianza kumshabikia Membe akiwa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…