Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Uko correct 100%Kikwete anawazidi wote Lissu, Magufuli, Membe..
Charisma na mvuto Tz since independence ni Nyerere na Kikwete
Waliosalia wote wanababia babia
Mchonga na mkwere Wana charisma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko correct 100%Kikwete anawazidi wote Lissu, Magufuli, Membe..
Charisma na mvuto Tz since independence ni Nyerere na Kikwete
Waliosalia wote wanababia babia
Hawakujua yote hayo kabla...?
Huyu jamaa, hana kabisa mvuto akiwa jukwaani.
Siasa kwake naona si jambo alilonalo kiasili.
Anajitahidi sana kuongea na kudondosha vibwagizo akiwa jukwaani, lakini wapi! Hamna kitu kabisa.
Maneno hayamtoki mdomoni kiulaini. Linganisha Lissu akiwa jukwaani na huyo Membe, ni usiku na mchana.
Sauti haina mvuto. Hana msamiati wa kutosha wa kuchotea vibwagizo kuendana na hadhira iliyo mbele yake.
Anachokiweza ni vijembe vya kimafumbo huko Twitter.
Wewe jamaa ni mpumbavu.
Anna Mugwira afanye kampeni hakafu Membe eti ashindwe Kwasababu za ukata!!!
Unachekesha aisee
Aisee...Anna Mghwira alipata kura ngapi?
..Zilikuwa na faida gani kwa chama?
..Je, ulitaka Membe azunguke-zunguke nchi nzima bila faida, wala tija, kwa chama na upinzani kwa ujumla?
Aisee.
Wewe ulitaka apate kura ngapi ili kwako uone zina faida tena kwa mgombea mpya mwanamke na chama kipya ambacho kilishiriki uchaguzi kwa mara ya kwanza ?
Sasa kama mkakatu unajulikana wazi hapa, kinachofanya watu wanakuwa na endless arguments humu nini ?..kulikuwa na uwezekano wa TL kuenguliwa na Tume.
..hilo lingetokea Membe angekuwa mbadala wa Tundu Lissu.
..huo ndio ulikuwa mkakati wa pamoja wa ACT na CDM.
Sasa kama mkakatu unajulikana wazi hapa, kinachofanya watu wanakuwa na endless arguments humu nini ?
Mara Membe yuko kimya, mara hana mvuto mara sijui nini.
Wakati tushajua ACT na CHADEMA lao moja. Na the best option kwa Membe ni kukaa kimya asuchanganye wapiga kura.
Na CHADEMA wanapaswa zaidi kushukuru kwa hilo Kwasababu ACT hawakuwa cha kupoteza hata kama wangesimamisha mgombea...Nakubaliana na wewe.
..hata wagombea wa vyama vingine nadhani ni busara wamuunge mkono Tundu Lissu.
Na CHADEMA wanapaswa zaidi kushukuru kwa hilo Kwasababu ACT hawakuwa cha kupoteza hata kama wangesimamisha mgombea.
Kwanza mpaka sasa majukwaani kungekuwa ni kurushiana vijembe tu kati yenu misukule ya vyama huku CCM wakichekelea.
Mwanaume unakata uno na kusasambua hatari
Mzee wa niguse ni nukeHuyu jamaa, hana kabisa mvuto akiwa jukwaani.
Siasa kwake naona si jambo alilonalo kiasili.
Anajitahidi sana kuongea na kudondosha vibwagizo akiwa jukwaani, lakini wapi! Hamna kitu kabisa.
Maneno hayamtoki mdomoni kiulaini. Linganisha Lissu akiwa jukwaani na huyo Membe, ni usiku na mchana.
Sauti haina mvuto. Hana msamiati wa kutosha wa kuchotea vibwagizo kuendana na hadhira iliyo mbele yake.
Anachokiweza ni vijembe vya kimafumbo huko Twitter.
..kulikuwa na uwezekano wa TL kuenguliwa na Tume.
..hilo lingetokea Membe angekuwa mbadala wa Tundu Lissu.
..huo ndio ulikuwa mkakati wa pamoja wa ACT na CDM.
Hahaahahah pia watu wanatakiwa kujua kua CCM KAMA DINI UKINGIA MSIKITINI AMA KANISANI LAZMA IMANI IKUJAE SO UKINGIA KWENYE CHUMBA CHA MPIGA KURA TUU AKILI INAJAA KWA CCM, HATA KAMA HUKUPANGA UNAJIKUTA UMEPGA KWA CHAMA LA WANAWatz ni kama wasanii na followers wengi Instagram na ukitangaza show support kama lote hivi sasa siku ya show ndani ya ukumbi hutaamini macho yako watakao kuja ni kutoka gwambina wala sio insta na hawajawahi jiunga insta...
Membe na lissu wataponzwa na siasa za mitandaoni. Wapiga kura sio wajinga.
Kikao gani kiliamua hivyo?
Hata kelele za ‘twende na Membe’ zimezima sasa.
Mkuu watu walikua serious maana uncertainty juu ya Lissu kurudi nchini ama kupitishwa na NEC agombee.Ile ilikuwa ushabiki maadazi. Wakiaminishwa wanafuata hakuna kujiuliza kama nanihiii.
Hivi lengo la upinzani ni kumtoa Magu au ccm?Mkuu watu walikua serious maana uncertainty juu ya Lissu kurudi nchini ama kupitishwa na NEC agombee.
Motive nyingine ilikua sio kwamba wana mapenzi sana na Membe bali upinzani unapenda kuona CCM inapasuka ili waingie kwenye uchaguzi wako vipande kma 2015! So inakua more of kuikomoa CCM kuliko kumhitaji sana Membe!!
All in all Membe amekuja kama Sumaye 2015, back up just in case mgombea aliyetarajiwa angepingwa na tume ama kutoweza fika mwisho wa kampeni.
Nadhani siku akizingumza tutayajua mengi for now ni speculation tu