Uchaguzi 2020 Bernard Membe hana kabisa mvuto!


Hana bashasha......mashamsham wala machejo yoyote.....
Hana amsha amsha kabisa.......hasisimui......
 
Wee jamaa Mungu anakuona
 
Hata huyo Lissu mbona hana mvuto sema anabebwa na zile risasi.
 

Ni kweli ccm inaweza kushinda kihalali kabisa, lakini kwa hapa tulipofika ccm haina uwezo tena wa kushinda kihalali kufika 60% urais na ubunge. Hivyo wanajua wakipata chini ya 60% urais na ubunge, watakosa 2/3 ambayo itawanyima nguvu bungeni ya kupitisha chochote watakavyo. Sasa hivi ccm wanalazimisha kumfurahisha Magufuli kwa kutaka kupata 90%+ ya kura, kitendo cha kuja kwa Lisu imekuwa tatizo, na anaongea lugha ambazo wanajua kabisa ushindi wowote wa kulazimisha, na iwapo wapinzani watasimama kweli, nchi yetu itafungua ukurasa mpya wa chaguzi za kihayawani.
 
Kabisa!

Hata Zitto ana afadhali kuliko Membe.
Kama uliona kampeni za kutia Nia CCM mwaka 2015 , kule Mtama Lindi ambapo Membe alikuwa akitia Nia Wala hili lisingekuwa surprise kwako

Membe alikuwa shallow mno, alikuwa Hana hoja kabisa za kushawishi,
 
inawezekana amepaniki kwa sababu kubwa mbili......

1. Alikuwa anaamini Lissu hawezi kurudi hivyo yeye atakua mgombea kwenye muungano wa cdm&act, mara paap Lissu katia timu!

2. Anashangaa kuona wenzake (lissu, zito, seif et al) hata hawatishiki na chochote wakat yeye anaogopa sana nguvu ya dola, nadhani kwake imekua suprise, imempotezea kujiamini
 
Lissu akienguliwa, huyo ndio mgombea.
Atabebwa na support ya chama.
Mbona Magufuli amepauka sana, lakini alishinda au kushindishwa?

Lissu akienguliwa heri Mbowe, Nyalandu au Zitto, Membe hana mvuto kabisa
 
Li

Lissu ni angel of death 💀... Dola inalijua hilo ndio mana hawam-face ... wanachokifanya wanamzunguka wanamnyoa mbawa mwisho wa siku ashindwe kuruka mbinu adhimu sana inatumika kumtuliza huyu bwana mkubwa
...Aaah wapi!...
 
Li

Lissu ni angel of death 💀... Dola inalijua hilo ndio mana hawam-face ... wanachokifanya wanamzunguka wanamnyoa mbawa mwisho wa siku ashindwe kuruka mbinu adhimu sana inatumika kumtuliza huyu bwana mkubwa
...Aaah wapi!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…