Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wabongo bwana!Mange Kimambi yalimkuta haya .... dada hatutakuangusha ... wengine wakatengeneza home made gas-mask ...siku ya siku barabara nyeupeeeeeee... wakarudi ooo tumeshinda wameandamana wao badala yetu .... [emoji23]
Nyalandu anajua kujieleza ila na yeye hana msisimko wa kisiasa kama walio nao kina Zitto na Lissu.Membe hata Nyalandu anamshinda, japo na yeye Ni product ya kubebwa
Maandamano ya ukuta ni ushahidi tosha. Barabarani palikuwa peupeeeMange Kimambi yalimkuta haya .... dada hatutakuangusha ... wengine wakatengeneza home made gas-mask ...siku ya siku barabara nyeupeeeeeee... wakarudi ooo tumeshinda wameandamana wao badala yetu .... 😂
Bro, umetumia "symbolic language to indicate end justifies the means". Hapo ni kuwa kwa Tundu Lissu kuwa ndiye mpeperusha bendera wa uraisi wa JMT bila ya kutojali kukubalika kwa ACT Wazalendo kule upande wa Zanzibar, basi hapo ni sawa na kutwanga maji ktk kinu.Huyu jamaa, ‘jasusi mbobezi’, hana kabisa mvuto akiwa jukwaani.
Siasa kwake naona si jambo alilonalo kiasili.
Anajitahidi sana kuongea na kudondosha vibwagizo akiwa jukwaani, lakini wapi! Hamna kitu kabisa.
Maneno hayamtoki mdomoni kiulaini. Linganisha Lissu akiwa jukwaani na huyo Membe, ni usiku na mchana.
Sauti haina mvuto. Hana msamiati wa kutosha wa kuchotea vibwagizo kuendana na hadhira iliyo mbele yake.
Anachokiweza ni vijembe vya kimafumbo huko Twitter.
Wapambe nuksiHata kelele za ‘twende na Membe’ zimezima sasa.
Du! Busara nzito namna hii toka kwa Nyani? Umenishangaza mkuu!Magufuli ana faida ya kuwa mgombea wa chama kilicho madarakani.
Ili kukiondoa chama kilicho madarakani, hususan katika mazingira yetu ambayo hayatoi fursa sawa, inahitajika kuwepo na hamasa kubwa sana.
Ili kuwepo na hamasa kubwa, ni lazima mgombea/ mshindani mkuu wa Rais aliyepo madarakani awe na uwezo wa kuwahamisha watu kwa kiwango cha juu kabisa.
Siasa ni hisia, pia.
Membe haamshi hisia za watu kama ambavyo Lissu anaweza.
Kikwete anajua kiswahili. Ila tatizo lipo kwenye quality ya anachozungumza. Mazungumzo yake ni ya level ya chini. Nyerere ndiye alikuwa kiboko. Alikuwa hachoshi na mengi anayozungumza ni ya level ya juu.Kweli kabisa!
Communication skills za Kikwete, hususan kwa lugha ya Kiswahili, ziko underrated.
Binafsi napenda sana kumsikiliza. Kiswahili anakimudu vizuri sana.
Sijui kama watu wengi wameliona hilo...
Membe Kama unakumbuka kampeni za kutia Nia CCM mwaka 2015 alikuwa pia akiongea utopolo mtupu, sio kwamba Hana hoja tu, bali Hana ajenda kabisa za maanaYaani huu mjadala umeenda vizuri sana yaani ki_great thinker. Ni kweli Lissu ana Charisma kuliko Membe. Hata hivyo, Membe anaangushwa kwa sababu anaongea kwa tahadhari sana jukwaani (anaepuka freestyles za Lissu, Jk na Zitto) Amepata woga fulani na hawasilishi hoja zake kwa utulivu na kina kama Lissu, Zitto na hata Maalim Seifu. Siku anakaribishwa ACT pale Mlimani city aliongea vizuri sana kwa kujiamini na hakujaribu kupaza sauti sana. Kwenye interviews ana_perform vizuri lakini akiwa jukwaani sijui inakuwaje??!!. Nakubaliana kabisa na mtoa mada kuwa hajajenga hoja vizuri huko Zanzbar na Pemba......
Vipi kuhusu mropokaji mkuu anayeshusha hata matusi ya nguoni akiwa jukwaani na mavazi yake ya kijani?TOFAUTI Membe anajaribu kutafakari anchotaka kusema ndo maana unaona hana mvuto na Lissua anaropoka lolote linalokuja kinywani bila kujali ndio linalo kuvutia.
Mtaparurana weeeeHuyu jamaa, ‘jasusi mbobezi’, hana kabisa mvuto akiwa jukwaani.
Siasa kwake naona si jambo alilonalo kiasili.
Anajitahidi sana kuongea na kudondosha vibwagizo akiwa jukwaani, lakini wapi! Hamna kitu kabisa.
Maneno hayamtoki mdomoni kiulaini. Linganisha Lissu akiwa jukwaani na huyo Membe, ni usiku na mchana.
Sauti haina mvuto. Hana msamiati wa kutosha wa kuchotea vibwagizo kuendana na hadhira iliyo mbele yake.
Anachokiweza ni vijembe vya kimafumbo huko Twitter.
MnVp kuhusu mropokaji mkuu anayeshusha hata matusi ya nguoni akiwa jukwaani na mavazi yake ya kijani?
Hahahaaa!Du! Busara nzito namna hii toka kwa Nyani? Umenishangaza mkuu!
Ile ilikuwa charisma au pesa??Lowassa ndio hana mpinzani kwa Charisma. Yeye anapanda jukwaani anasema maneno matatu tu Elimu, Elimu, Elimu, ila shughuli yake si mchezo. Charisma yake hadi ilisababisha CCM washindwe kuiba kura Zanzibar, nguvu yote waliweka bara kupambana na mzee wa elimu
kumbe...basi mpigeni risasi mgombea wenu kusudi naye abebwe na risasi!.Hata huyo Lissu mbona hana mvuto sema anabebwa na zile risasi.