Uchaguzi 2020 Bernard Membe hana kabisa mvuto!

Uchaguzi 2020 Bernard Membe hana kabisa mvuto!

Mange Kimambi yalimkuta haya .... dada hatutakuangusha ... wengine wakatengeneza home made gas-mask ...siku ya siku barabara nyeupeeeeeee... wakarudi ooo tumeshinda wameandamana wao badala yetu .... [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wabongo bwana!
 
Yaani huu mjadala umeenda vizuri sana yaani ki_great thinker. Ni kweli Lissu ana Charisma kuliko Membe. Hata hivyo, Membe anaangushwa kwa sababu anaongea kwa tahadhari sana jukwaani (anaepuka freestyles za Lissu, Jk na Zitto) Amepata woga fulani na hawasilishi hoja zake kwa utulivu na kina kama Lissu, Zitto na hata Maalim Seifu. Siku anakaribishwa ACT pale Mlimani city aliongea vizuri sana kwa kujiamini na hakujaribu kupaza sauti sana. Kwenye interviews ana_perform vizuri lakini akiwa jukwaani sijui inakuwaje??!!. Nakubaliana kabisa na mtoa mada kuwa hajajenga hoja vizuri huko Zanzbar na Pemba.
 
Mange Kimambi yalimkuta haya .... dada hatutakuangusha ... wengine wakatengeneza home made gas-mask ...siku ya siku barabara nyeupeeeeeee... wakarudi ooo tumeshinda wameandamana wao badala yetu .... 😂
Maandamano ya ukuta ni ushahidi tosha. Barabarani palikuwa peupeee
 
Huyu jamaa, ‘jasusi mbobezi’, hana kabisa mvuto akiwa jukwaani.

Siasa kwake naona si jambo alilonalo kiasili.

Anajitahidi sana kuongea na kudondosha vibwagizo akiwa jukwaani, lakini wapi! Hamna kitu kabisa.

Maneno hayamtoki mdomoni kiulaini. Linganisha Lissu akiwa jukwaani na huyo Membe, ni usiku na mchana.

Sauti haina mvuto. Hana msamiati wa kutosha wa kuchotea vibwagizo kuendana na hadhira iliyo mbele yake.

Anachokiweza ni vijembe vya kimafumbo huko Twitter.

Bro, umetumia "symbolic language to indicate end justifies the means". Hapo ni kuwa kwa Tundu Lissu kuwa ndiye mpeperusha bendera wa uraisi wa JMT bila ya kutojali kukubalika kwa ACT Wazalendo kule upande wa Zanzibar, basi hapo ni sawa na kutwanga maji ktk kinu.

Nyani kwa huu uzi wako, ukiingia tu kichwa kichwa, utajikuta marikiti ukiuza urojo. Beware.
 
Ila hawa ACT kule visiwani dah...sio kwa nyomi lile!
 
Magufuli ana faida ya kuwa mgombea wa chama kilicho madarakani.

Ili kukiondoa chama kilicho madarakani, hususan katika mazingira yetu ambayo hayatoi fursa sawa, inahitajika kuwepo na hamasa kubwa sana.

Ili kuwepo na hamasa kubwa, ni lazima mgombea/ mshindani mkuu wa Rais aliyepo madarakani awe na uwezo wa kuwahamisha watu kwa kiwango cha juu kabisa.

Siasa ni hisia, pia.

Membe haamshi hisia za watu kama ambavyo Lissu anaweza.
Du! Busara nzito namna hii toka kwa Nyani? Umenishangaza mkuu!
 
Kweli kabisa!

Communication skills za Kikwete, hususan kwa lugha ya Kiswahili, ziko underrated.

Binafsi napenda sana kumsikiliza. Kiswahili anakimudu vizuri sana.

Sijui kama watu wengi wameliona hilo...
Kikwete anajua kiswahili. Ila tatizo lipo kwenye quality ya anachozungumza. Mazungumzo yake ni ya level ya chini. Nyerere ndiye alikuwa kiboko. Alikuwa hachoshi na mengi anayozungumza ni ya level ya juu.
 
Nyani Ngabu MATAGA unajaribu kucheza na akili za wajinga. Leo unasema Membe hana mvuto kesho unasema Lissu mropokaji na wajinga wajinga wanakushangilia tu. Unaifanya kazi yako vizuri.

Sasa kama Membe hana mvuto na Lissu in mropokaji wewe MATAGA unatakiwa ufurahi maana mtu wako Magufuli atashinda kiulani tu.
 
Yaani huu mjadala umeenda vizuri sana yaani ki_great thinker. Ni kweli Lissu ana Charisma kuliko Membe. Hata hivyo, Membe anaangushwa kwa sababu anaongea kwa tahadhari sana jukwaani (anaepuka freestyles za Lissu, Jk na Zitto) Amepata woga fulani na hawasilishi hoja zake kwa utulivu na kina kama Lissu, Zitto na hata Maalim Seifu. Siku anakaribishwa ACT pale Mlimani city aliongea vizuri sana kwa kujiamini na hakujaribu kupaza sauti sana. Kwenye interviews ana_perform vizuri lakini akiwa jukwaani sijui inakuwaje??!!. Nakubaliana kabisa na mtoa mada kuwa hajajenga hoja vizuri huko Zanzbar na Pemba......
Membe Kama unakumbuka kampeni za kutia Nia CCM mwaka 2015 alikuwa pia akiongea utopolo mtupu, sio kwamba Hana hoja tu, bali Hana ajenda kabisa za maana

Mfano alipokuwa Unguja na Pemba, Jambo analoahidi Ni kuwatoa masheikh wa Uamsho mahabusu

Kati ya changamoto zote za Zanzibar yeye kaona tu Hilo. Hazungumzii hata reforms za mifumo ya kubadilishana wafungwa Kati ya bara na Zanzibar (extradition) ambalo ndio msingi mkuu wa hili la Uamsho

huwezi kusema utaachia watu huru Kama agenda yako kuu,
 
TOFAUTI Membe anajaribu kutafakari anchotaka kusema ndo maana unaona hana mvuto na Lissua anaropoka lolote linalokuja kinywani bila kujali ndio linalo kuvutia.
Vipi kuhusu mropokaji mkuu anayeshusha hata matusi ya nguoni akiwa jukwaani na mavazi yake ya kijani?
 
Huyu jamaa, ‘jasusi mbobezi’, hana kabisa mvuto akiwa jukwaani.

Siasa kwake naona si jambo alilonalo kiasili.

Anajitahidi sana kuongea na kudondosha vibwagizo akiwa jukwaani, lakini wapi! Hamna kitu kabisa.

Maneno hayamtoki mdomoni kiulaini. Linganisha Lissu akiwa jukwaani na huyo Membe, ni usiku na mchana.

Sauti haina mvuto. Hana msamiati wa kutosha wa kuchotea vibwagizo kuendana na hadhira iliyo mbele yake.

Anachokiweza ni vijembe vya kimafumbo huko Twitter.


Mtaparurana weeee
 
Mnapoteza shabaha. ACT mnashindana na CHADEMA ili nani awe chama kikuu cha upinzani. Urais ni ndoto za mchana tuu.
Vp kuhusu mropokaji mkuu anayeshusha hata matusi ya nguoni akiwa jukwaani na mavazi yake ya kijani?
Mn
 
Membe alidhani kugombea urais ni sawa na kujificha nyuma ya keyboard
 
Back
Top Bottom