Uchaguzi 2020 Bernard Membe hana kabisa mvuto!

Hivi lengo la upinzani ni kumtoa Magu au ccm?
Maana mlianza kumshabikia Membe akiwa ccm
Yes kuitoa CCM automatic unamtoa Magufuli. Kumshabikia Membe maana yake kuchochea mvurugano kati ya chama na eventually kipasuke maana asingemtoa Magufuli kirahisi hivo.

Na kwa matokeo yoyote yale ingekua advantage kwa upinzani kutumia fursa kujijenga. Rejea mtifuano wa Ruto na Uhuru si unaona kina odinga wanajijenga maana wanajua jubilee inapasuka 2022!!

Kwahiyo sio kwamba tulimpenda sana Membe ila maadam angeweza kuleta mgawanyiko CCM ama kumtoa jiwe basi ndio maana tukawa tunapiga kelele mitandaoni

NB: Hizo kelele zilituisha baada ya Lissu kutua kwa kishindo Dar, upepo ukahama rasmi maana tulipata serious contender wa magufuli na CCM
 
Nakubaliana na wewe. Membe ni heri hata angegombea Zitto! Hana hoja kabisa za kuteka hisia
Mkuu watu dizaini ya Membe ndo wamejaa CCM.

Yani Weupe sana,,wamejaa tamaa tu.
Na njaa ndo inayowakalisha CCM hakuna kingine...Kwaio MEMBE kawaacha wenzake wa aina yake wengi sana CCM.
type za kina lowasa
 
Yes kuitoa CCM automatic unamtoa Magufuli. Kumshabikia Membe maana yake kuchochea mvurugano kati ya chama na eventually kipasuke maana asingemtoa Magufuli kirahisi hivo.

Na kwa matokeo yoyote yale ingekua advantage kwa upinzani kutumia fursa kujijenga. Rejea mtifuano wa Ruto na Uhuru si unaona kina odinga wanajijenga maana wanajua jubilee inapasuka 2022!!

Kwahiyo sio kwamba tulimpenda sana Membe ila maadam angeweza kuleta mgawanyiko CCM ama kumtoa jiwe basi ndio maana tukawa tunapiga kelele mitandaoni

NB: Hizo kelele zilituisha baada ya Lissu kutua kwa kishindo Dar, upepo ukahama rasmi maana tulipata serious contender wa magufuli na CCM
Mgawanyiko? Mbona Membe kafukuzwa na hakuna mgawanyiko?

Je, ccm wangeamua kumpitisha Membe ina maana mngempigia kura Membe?
 
Naona huelewi.... Zile kelele zilikua kumchochea Membe ili aanzishe zengwe then makundi yajitokeze ndani ya CCM. Bottom line wafike uchaguzi wamevurugana.

Hayo yalikua matarajio sadly walimkata kabla hajachukua fomu so target haikufanikiwa. But kikubwa ni kwamba sio kwamba Membe alipendwa mnoo but walitaka mgawanyiko

Maoni mengine ni kwamba Membe alipotimuliwa angekua mgombea wa upinzani kma Lissu angekatwa. Yote kwa yote mtu wa kupambana na CCM ipasuke from inside ndio ilikua chanzo cha zile kelele ila sio kwamba Membe anakubalika kivileee na upinzani.

Ni speculation tu
 
Lissu anawatesa sana wa kijani, now mpo kama mmenyeshewa mvua, kila mnapogusa hapashikiki. Mrudisheni Nape, naye kwa sababu kazibuka ataweza kushindana na Lissu. Polepole yeye analialia tu kwenye media.

Kama Lowassa alipigwa chini na CCM kipande, yeyote ajae ana taabu kubwa. Lisssu ni irritant tuu kwa Mkulu lakini sio ushindi. Ila atashinda katika uchaguzi unaoendeshwa na kuishia wa hapa JF.
 
Kikwete anawazidi wote Lissu, Magufuli, Membe..

Charisma na mvuto Tz since independence ni Nyerere na Kikwete

Waliosalia wote wanababia babia

Mkuu huu mchango wangu unaweza kuwa mgumu sana kwa wengi kuuelewa lakini nimeupata kwa Magwiji wa masuala ya communication na bahati mbaya sio watanzanaia, na waliniambia hivi.

" mawasiliano ya ueleweke na uaminike kisiasa inategemea uko wapi? unaongea na nani? na wakati gani? wewe ni nani?"

Huyu mtu wenu anaongea kama ni mshamba anaaminika zaidi na washamba wote na wa makabila yote kuliko wale wenye kuongea kimjini. Yuko kama wao, anafanana nao, anazungumza kama wao,wamekutana na watu wengine wanao fanana nae. Atapata taabu kama asili ya watu anakotoka ni watu hawaaminiki lakini kama kabila au sehemu anayotoka ni jamii isiyo na mawaa, wasikilizaji watakuwa wanamfananisha na tabia ama nzuri, ama mbaya kufuatana na jamii anayotoka.

Ukiwa mu-Ibbo watakufananisha na wa-Ibbo wanafahamika kivipi. kama ni wezi utahesabiwa na wewe ni mwizi, kama ni wema na wewe utahesabiwa hivyo hivyo.

Ndio maana wahubiri dunia nzima wana mfumo wa kuhubiri ambao unawavuta watu na kuwaamini.
Makasisi- wana mfumo na sauti ya kuwasiliana na flock ambao wata waamini na kuwavutika. Na nikapewa mifano mingi tuu.

Kwa hiyo kulitawala jukwaa inategemea wew ni nani na jamii unayo ongea nayo.

Nikaambiwa ushishangae Mzee Kikwete anaweza akashindwa vibaya kwa washamba kuliko huyo mshamba wako unae muona hawezi kuongea vizuri anapo ongea na washamba wenzake.

Nikaulizwa kabila nikasema wakasema inakuwaje? Nikawaambia sisi Upareni ukiongea Kiswahili bila lafudhi ya Kipare, huitwa Myika huyo. Na maana halisi ya Mnyika ni mtu yeyote ambae hayuko kama sisi, kwa hiyo lazima jihadhari nae kwa kuwa hufanani nae na humjui.
 
We mzee toka upate kura mbili sijui dishi limeyumba [emoji2369]

Ulisema Lissu harudi amerudi unaanza kuleta ngonjera zingine.

Huoni hata aibu kuzidiwa kura na mtoto anayefaa kuwa mjukuu wako wa mwisho ?

Siyo kinachojadiliwa katika uzi huu, muda huu.Tujitahidi kuwa relevant.
 
Mkuu huu mchango wangu unaweza kuwa mgumu sana kwa wengi kuuelewa lakini nimeupata kwa Magwiji wa masuala ya communication na bahati mbaya sio watanzanaia, na waliniambia hivi.

" mawasiliano ya ueleweke na uaminike kisiasa inategemea uko wapi? unaongea na nani? na wakati gani? wewe ni nani?"

Huyu mtu wenu anaongea kama ni mshamba anaaminika zaidi na washamba wote na wa makabila yote kuliko wale wenye kuongea kimjini. Yuko kama wao, anafanana nao, anazungumza kama wao. Atapata taabu kama asili ya watu anakotoka ni watu hawaaminiki lakini kama kabila au sehemu anayotoka ni jamii isiyo na mawaa, wasikilizaji watakuwa wanamfananisha na tabia au nzuri au mbaya kufuatana na jamii anayotoka.

Ukiwa mu-Ibbo watakufananisha na wa-Ibbo wanafahamika kivipi. kama ni wezi utahesabiwa na wewe ni mwizi, kama ni wema na wewe utahesabiwa hivyo hivyo.

Ndio maana wahubiri dunia nzima wana mfumo wa kuhubiri ambao unawavuta watu na kuwaamini.
Makasisi- wana mfumo na sauti ya kuwasiliana na flock ambao wata waamini na kuwavutika. Na nikapewa mifano mingi tuu.

Kwa hiyo kulitawala jukwaa inategemea na jamii unayo ongea nayo.

Nikaambiwa ushishangae Mzee Kikwete anaweza akashindwa vibaya kwa washamba kuliko huyo mshamba wako unae muona hawezi kuongea vizuri.

Nikaulizwa kabila nikasema wakasema inakuwaje? Nikawaambia sisi Upareni ukiongea Kiswahili bila lafudhi ya Kipare, huitwa Myika huyo. Na maana halisi ya Mnyika ni mtu yeyote ambae hayuko kama sisi, kwa hiyo lazima jihadhari nae kwa kuwa humjui.
Umeongea kitu very very deep
 
Uko correct 100%

Mchonga na mkwere Wana charisma
Nyerere na Kikwete ni marais pekee ambao walipata uongozi kwa uwezo wao na mapambano.

Mwinyi aliwekwa tu na Nyerere ndio maana mpaka leo yupo yupo, hajielewi.

Magufuli naye kawekwa tu kama Mzigo na Mkapa ndio maana hana future wala maono yoyote na taifa hili.
 
Yes kuitoa CCM automatic unamtoa Magufuli. Kumshabikia Membe maana yake kuchochea mvurugano kati ya chama na eventually kipasuke maana asingemtoa Magufuli kirahisi hivo.

Na kwa matokeo yoyote yale ingekua advantage kwa upinzani kutumia fursa kujijenga. Rejea mtifuano wa Ruto na Uhuru si unaona kina odinga wanajijenga maana wanajua jubilee inapasuka 2022!!

Kwahiyo sio kwamba tulimpenda sana Membe ila maadam angeweza kuleta mgawanyiko CCM ama kumtoa jiwe basi ndio maana tukawa tunapiga kelele mitandaoni

NB: Hizo kelele zilituisha baada ya Lissu kutua kwa kishindo Dar, upepo ukahama rasmi maana tulipata serious contender wa magufuli na CCM
Mwisho wa siku nchi hii zaidi ya 98% ya watu wote wana mwogopa Magufuli. Hivyo mtu yeyote anayetunishiana msuli na Magu ni lazima aungwe mkono.

Watu wana majanga ila wanaugulia moyoni, ndio maana akitokea jasiri wa kusema kila mtu ana mrushia tatizo lake: Zungumzia hivi, zungumzia vile, zungumza hivi.

Utasikia wasemee walimu, wasemee kina fulani, sababu kubwa ni kuwa wao wanaogopa kusema.

Na hiyo ndio sababu kubwa why watu walimshabikia Membe kwa kuwa alionesha yuko tayari kumchallenge Magu
 
Mkuu huu mchango wangu unaweza kuwa mgumu sana kwa wengi kuuelewa lakini nimeupata kwa Magwiji wa masuala ya communication na bahati mbaya sio watanzanaia, na waliniambia hivi.

" mawasiliano ya ueleweke na uaminike kisiasa inategemea uko wapi? unaongea na nani? na wakati gani? wewe ni nani?"

Huyu mtu wenu anaongea kama ni mshamba anaaminika zaidi na washamba wote na wa makabila yote kuliko wale wenye kuongea kimjini. Yuko kama wao, anafanana nao, anazungumza kama wao,wamekutana na watu wengine wanao fanana nae. Atapata taabu kama asili ya watu anakotoka ni watu hawaaminiki lakini kama kabila au sehemu anayotoka ni jamii isiyo na mawaa, wasikilizaji watakuwa wanamfananisha na tabia ama nzuri, ama mbaya kufuatana na jamii anayotoka.

Ukiwa mu-Ibbo watakufananisha na wa-Ibbo wanafahamika kivipi. kama ni wezi utahesabiwa na wewe ni mwizi, kama ni wema na wewe utahesabiwa hivyo hivyo.

Ndio maana wahubiri dunia nzima wana mfumo wa kuhubiri ambao unawavuta watu na kuwaamini.
Makasisi- wana mfumo na sauti ya kuwasiliana na flock ambao wata waamini na kuwavutika. Na nikapewa mifano mingi tuu.

Kwa hiyo kulitawala jukwaa inategemea wew ni nani na jamii unayo ongea nayo.

Nikaambiwa ushishangae Mzee Kikwete anaweza akashindwa vibaya kwa washamba kuliko huyo mshamba wako unae muona hawezi kuongea vizuri anapo ongea na washamba wenzake.

Nikaulizwa kabila nikasema wakasema inakuwaje? Nikawaambia sisi Upareni ukiongea Kiswahili bila lafudhi ya Kipare, huitwa Myika huyo. Na maana halisi ya Mnyika ni mtu yeyote ambae hayuko kama sisi, kwa hiyo lazima jihadhari nae kwa kuwa hufanani nae na humjui.
Ngoja nikuulize maswali mawili:-

1. Kama umewahi kuwasikiliza wote wawili, nani muongeaji mzuri kati ya Mkapa na JK?
2. Kwa maoni yako, ni nani charismatic leader kati ya hao wawili?!
 
Ile ilikuwa ushabiki maadazi. Wakiaminishwa wanafuata hakuna kujiuliza kama nanihiii.
Mwisho wa Novemba Lissu atajikuta kwenye hii hali. Watanzania wengi wanaujua unafiki.
Unafiki ungekuwa bidhaa tunge export tupate fedha za kigeni.
 
Yes kuitoa CCM automatic unamtoa Magufuli. Kumshabikia Membe maana yake kuchochea mvurugano kati ya chama na eventually kipasuke maana asingemtoa Magufuli kirahisi hivo.

Na kwa matokeo yoyote yale ingekua advantage kwa upinzani kutumia fursa kujijenga. Rejea mtifuano wa Ruto na Uhuru si unaona kina odinga wanajijenga maana wanajua jubilee inapasuka 2022!!

Kwahiyo sio kwamba tulimpenda sana Membe ila maadam angeweza kuleta mgawanyiko CCM ama kumtoa jiwe basi ndio maana tukawa tunapiga kelele mitandaoni

NB: Hizo kelele zilituisha baada ya Lissu kutua kwa kishindo Dar, upepo ukahama rasmi maana tulipata serious contender wa magufuli na CCM
Watu wasio na mipango mnafuata upepo tu.
 
Ngoja nikuulize maswali mawili:-

1. Kama umewahi kuwasikiliza wote wawili, nani muongeaji mzuri kati ya Mkapa na JK?
2. Kwa maoni yako, ni nani charismatic leader kati ya hao wawili?!
Mkwere ni Smart sana aisee hata nyerere anamjua vizuri kwenye Kura za maoni 1995
 
Naona huelewi.... Zile kelele zilikua kumchochea Membe ili aanzishe zengwe then makundi yajitokeze ndani ya CCM. Bottom line wafike uchaguzi wamevurugana.

Hayo yalikua matarajio sadly walimkata kabla hajachukua fomu so target haikufanikiwa. But kikubwa ni kwamba sio kwamba Membe alipendwa mnoo but walitaka mgawanyiko

Maoni mengine ni kwamba Membe alipotimuliwa angekua mgombea wa upinzani kma Lissu angekatwa. Yote kwa yote mtu wa kupambana na CCM ipasuke from inside ndio ilikua chanzo cha zile kelele ila sio kwamba Membe anakubalika kivileee na upinzani.

Ni speculation tu

Nafuatilia michango yako kidogo naota moto kwenye baridi, sasa why you do not see our serious shortcomings?, na kama shortcomings haziwi amplified zitaondokaje ili tuweze kuchukua dola?
Nakuonya kisiasa, hii kuhusu Membe - usirukie mchezo wa drafti ambao wenzako wameupanga. Ukikuta wewe vuruga panga upya kwa kuwa ule ulioukuta wamepanga hautakuwa na control nao.
 
Ngoja nikuulize maswali mawili:-

1. Kama umewahi kuwasikiliza wote wawili, nani muongeaji mzuri kati ya Mkapa na JK?
2. Kwa maoni yako, ni nani charismatic leader kati ya hao wawili?!

Kila mmoja ana uwezo wake, Mkapa ni great thinker na more knowledgeable kuliko kikwete, lakini Kikwete yupo very charismatic na ana fit sana na sisi wa Mujini.
 
Back
Top Bottom