Uchaguzi 2020 Bernard Membe is a real deal. Membe for president!

Tundu Lissu
Zitto Kabwe
Bernad Membe ..halafu mtu mwenye akili timamu amtake BM badala ya zao la upinzan Zitto&Lisu?. Hata ukiwaweka majukwaan BM nimgum kuuzika kuliko ZK na Tl.Kama mnataka tusiende kupiga kura basi upinzan wamsimamishe BM.
 
Kwa nini asitoke huyo Magu,nakumuweka Lisu au Zitto kwa nini mnataka awe Membe?.Membe anajambo gani la ziada luwazid Zitto na Lisu?. Unaona niyupi rahisi kuuzika kati ya Lisu&Zitto&Membe kwa wananchi?.
 

I admire your courage in vomiting out your stupidity openly. Life is too short man to dwell on your utopian ideas and ideals. JPM has done a lot for Tansania than your so called β€ž choice of your heart β€ž. When he was part of the system.

Analytically you seem to be really a distraught und frustrated Person. You have reached a point of no return. May the Devil HIMSELF be by your side. Amin.
 

Mkuu wewe ndo msanii.
 
Hivi huko upinzani mna Zitto,Tundulisu kisha mnahangaika na Membe kiukweli muda mwingine upinzan huwa siwaelewi.Simamishen mgombea mmoja either Tundu Lissu au Zitto Kabwe muachane na hao wanaotoka CCM.
Tundu l akija tu anakamatwa asaidie polisi kuhusu jaribio lake la kufa, kuachiwa na uchaguzi utakuwa umeisha, Zitto bado hajafikia kiwango cha ushawishi cha kumtisha Jpm, atafeli. Membe ni ccm na hata akishinda ni watu wa ccm ndo watamuwezesha kushinda, pia haaminiki lengo lake hasa ila ni hatari kwa Jpm kuliko zitto. Yaani upinzani kiufupi ni ushashughulikiwa na hauna chake, ni style tu ya kumalizia ndo inaumiza watu vichwa. Labda raia waamue vinginevyo.
 
Membe MUST be president at all cost come morning comes eventing come rain comes sunshine for the betterness of national importance.

************
Last time I had this statement the guy was shot dead [emoji88] I am skeptical this time around what will happen
 
Membe hata akiamua tu kujiunga na CDM bila kugombea urais ataleta hamasa kubwa.
 
Japo kiingereza cjui ila kama unazungumzia Membe kuwa rais nasikitika unataka kurudia ya lowasa na Sumaye, jaribu kujifunza kupitia makosa
 
Tundu Lissu
Zitto Kabwe
Bernad Membe ..halafu mtu mwenye akili timamu amtake BM badala ya zao la upinzan Zitto&Lisu?. Hata ukiwaweka majukwaan BM nimgum kuuzika kuliko ZK na Tl.Kama mnataka tusiende kupiga kura basi upinzan wamsimamishe BM.
Mkuu,
Sijui unamaanisha nini unaposema zao la upinzani...mbona mazao ya upinzani mengi tu yametusaliti?

Ni sawa, sisi kama wapinzani tunamhitaji sana Tundu Lissu, hili kwa kweli halina ubishi ila swali ni kwamba yuko wapi Tundu Lissu?
Sijui kinachopangwa lakini naona kwa mazingira tulionayo sasa kweli Lissu atarudi aje agombee uraisi? mbona hadi sasa hayupo nchini?
Kwa nini tunamuhitaji Membe kwa sasa umoja wa watanzania ni muhimu mno kuliko wakati wowote kuwahi kutokea. Ikitokea kwamba T.L ameshindwa kurudi Tanzania, turufu ya pekee ni bwana B.M. Huyu mtu ataiungnisha Tanzania iwapo atagombea kwa ticketi ya upnzani. Huyu mtu atavuta zaidi hisia za kizalendo kuliko za kivyama. Ni mtu mzuri kidiplomasia na anajuwa hasa nini cha kufanya kutibu majeraha aliyoyasabababisha huyu wa sasa.
Sina maana kama tulionao wengine kwenye upinzani hawafai... hapana kwa kweli kuna wengi wenye uwezo na wako vizuri, binafsi namkubali sana Zito na Nyalandu. Ila watauzika kiasi gani? Na kama nilivyoeleza awali situation tulionayo kwa sasa kubadilisha utawala huu ni 'urgent'. Hatuwezi ku-risk kumpa tena mitano huyu jamaa!
 
 
Ni vigumu Membe kuwa rais labda angekuwa amepata ridhaa ya CCM .Kwa sasa hivi hata kwa upinzani hawezi kuwa rais wa nchi kwa kuwa muda wa wapinzani kuungana unayoyoma.
 

https://jamii.app/JFUserGuide you. Membe labda awe president kwa mama yako.
 
ki ukweli vyama vya upinzani vinamwitaji Membe ili kuongeza kula wapate ruzuku nyingi kutokana na idadi ya kula za mgombea urais lakini toka kushiriki kwao wanajua kabisa hawakuwahi kumwandaa kiongozi wa kushindana na Magufuli.
 
Mataga na mwenyekiti wao hawawezi elewa huu uzi,
 
Kwa nini asitoke huyo Magu,nakumuweka Lisu au Zitto kwa nini mnataka awe Membe?.Membe anajambo gani la ziada luwazid Zitto na Lisu?. Unaona niyupi rahisi kuuzika kati ya Lisu&Zitto&Membe kwa wananchi?.

Membe kwa asili ana moyo wa upinzani pia, lakini alikuwa mpinzani wa ndani kwa ndani. Mpinzani wa hivyo ni jasiri sana anafaa.

Hata maalim Seif zamani alikuwa CCM akafukuzwa kama alivyofukuzwa Membe.
 


Membe anatakiwa kuweka msimamo Je akigombea anagombea kwa ajenda gani ya kurekebisha ili wananch wajue vizuri?
 
Regardless of who you vote for the presidency JPM will be declared for the second term. Our right to decide who to lead us is not on our hands as long as we still don't have a neutral electoral committee.
 
Regardless of who you vote for the presidency JPM will be declared for the second term. Our right to decide who to lead us is not on our hands as long as we still don't have a neutral electoral committee.

CCM inaweza kung'oka, play your part!!

Kwani wasing'oke wao nani?

Mistake kubwa tunayoweza kufanya ni kuhofia kuchukua hatua na juhudi kuing'oa CCM, lakini siku ya kung'oka ikifika watang'oka watake wasitake, cha msingi juhudi za kuwang'oa ziendelee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…