Bernard Membe kuongea na Wahariri leo Oktoba 19, 2020

Bernard Membe kuongea na Wahariri leo Oktoba 19, 2020

MEMBE KADHULUMIWA NA ZITTO NA MAALIM SEIF, NINA HAKIKA ATATUJUZA ALICHOFANYIWA NA KUTUACHIA UAMUZI, TUUFANYE WENYEWE. WAPINZANI WANAMLAUMU SANA MAGUFULI NA KUSEMA ANADHULUMU WATU, LAKINI HAWATUONYESHI USHAHIDI WOWOTE.
 
Achana na Magufuli chagua Tundu Lisu na chadema.

Miaka 60 ccm bado leo wanaahidi maji Dar es Salaam.

Kila siku tumetenga bilioni 74 za maji, na maji hayatoki.

Mkumbo kakimbia wizara kaenda kugombea ubunge, baada ya kugundua hakuna lolote la kuleta maji ni uongo mtupu.

Katibu mkuu anakimbia wizara bado unawaamini ccm na Magufuli?!
 
Huenda aka rudi nyumbani ili account zake zifunguliwe. Maana kwa sasa anaishi kwa kugongea

116757236_301032438003801_613182120956803509_n.jpg
 
Back
Top Bottom