TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Bado Dakika ngapi mechi iishe?Timu inayocheza uwanjani kwa sasa ndio timu yake.MTULIE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado Dakika ngapi mechi iishe?Timu inayocheza uwanjani kwa sasa ndio timu yake.MTULIE
Unatafuta ban si bure!Membe alifunga Goli kwenye Extra Time kabla ya Penalty[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtu chali 17/03/2021 jioni kabisa dakika za nyongeza
Ilikuwa issue gani, now he died, funguka kidogo.Katika majasusi uchwara wa Kwanza Ni huyo Membe.Kilichombeba Ni Ile inshu yake na Mzee Hassy kitine,nje ya hapo Ni bure kabisa.
[emoji2960]'Wenye nchi' wameshamtisha.Na huenda wamemkumbusha yale yaliyomkuta I. Kombe.Kuna nguvu kubwa ipo nyuma mfumo rasmi tunaoujua.Ina nguvu kuliko Serikali.