Tetesi: Bernard Membe na mtandao wao hawakufurahia uamuzi wa Rais Magufuli kununua korosho kwa wakulima tena kwa bei kubwa kuliko iliyopendekezwa

Chadema wako bize kumpotosha Membe kama walivyompotosha Lowasa.

Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!
 

Kweli kabisa, mbaazi ukikosa maua husingizia jua.
 
2020 twende na Membe
 
Oooh,sasa ndo nimeelewa,kumbe Membe ndo amezuia korosho isinunuliwe kule mtwara/lindi,

halafu ghasia na nape nao hawaungi mkono juhudi za kununua korosho,

ndo maana zoezi linaenda polepole,,,ok,

sasa kama membe ana kangomba si mtaifishe?
Au labda kazificha hamuezi kuzifikia?
 
Eti huyu nae mwanamme,Wanaume wanaenda wanaisha Wallah,umebaki kutudharirisha Wana Mara wenzio kwa upuuzi wako,wote tunaonekana vilaza kwa ajili ya njaa zako,mwana Mara gani tena mwanaume wakujipendeza kwa wanaume wenzio kiasi hicho?.badilika unatuaibisha,unakera sana.
 
Machungu ya korosho tunayajua wenyewe! Nyinyi mnaanzisha nyuzi za kinafiki huku watu tumepoteza hela zetu kwenye uwekezaji! kila siku mnatudanganya Tanzania haina ukabila wakati ukiwa na vikorosho vyako kilo 200 unaulizwa shamba lako wapi na ukiwaonesha shamba watakuuliza wewe ni kabila gani, ukisema wewe msukuma, mchaga, au kabila lolote lisilokuwa la kusini unalala selo kwanza siku tatu then unaporwa na korosho na makofi juu. Ina maana mtu kufanya uwekezaji sehemu fulani lazima uwee mzaliwa wa sehemu hiyo.
Li serikali letu ni baguzi na jizi lisilo na huruma na watu wake! Linadhani mtu kwenda kuwekeza sehemu ni dhambi. Ujinga mtupu, watu tumepoteza hela zetu kuwekeza alafu unakuja kutupora mali zetu kiboya boya tuu, magu si mtu, na wanaomsifiwa kwenye hii ishu ya korosho ni wasio na uwezo wa kufanya kazi. Kazi yao ni kutengeneza ma id mapya tu kila siku jf na twita na kuanza kupiga mapambio.

Miaka ya nyuma nilikuwaga simwelewi mzee wangu kwa nini hawataki ccm na watu wake, nimeanza kumkubali alikuwaga sawa. Yeye ni mpinzani tangia miaka hiyo isiyo na vyama vingi, ni mpinzani wa miaka ya 80 aliyepata misukosuko tangia enzi za akina nyerere mpaka huyu ibilisi wa sasa! Akina mbowe hao hawajasumbuliwa. Muulizeni mzee wangu ataeasimulia mabaya ya ccm na vibaraka vyake.

Ccm ni adui wa nchi hii. Wanataka watajirike wao tuu, tukilima na kutafuta kwa jasho letu mashambani wanapora, tukianzisha biashara zetu kwa akili zetu tunaitwa sijui kagomba sijui wahujumu uchumi na wapiga dili, upumbavu mtupu! Wanataka wao pekee yao wawe 'KANGOMBA' wakuu. Wenzao wawe malofa tuu.

Wameniteketezea mtaji wangu kwenye mambo mengi sana hawa mbwa, dhambi yao itawafuata walahi.

Alafu mtu kama huyu aanzishe liuzi la kishenzi kama hili halafu nimpe like?? Waendelee kuiba tuu ila siku zao zinahesabika. Yaani mimi hela nitafute mimi na uwekezaji nifanye mimi kwa kuona fursa halafu wanipore kizembe hivi, sawa wao wana jeshi ila Mungu hajalala hata siku moja, makomeo atakufa kifo cha aibu huku kaachama mdomo wazi kwa roho mbaya yake tuu!
 
Umenena vyema. Ni mkakati mzuri. Wawangalie vizuri huenda wanapata ushawishi wa fedha na mambo mengine kutoka kwa mabeberu wa nje. Ikithibitika watoswe mapema.
Well said mzee. Watu na uelewa wao mdogo hawawezi kuelewa hujuma zinazofanywa na Watanzania kwa Nchi zao. Ingekuwa tunaambizana kwa uwazi, ungeshangaa kukuta kuwa, zaidi ya wale waliotajwa na Gazeti la Tanzanite, kuna mikubwa wao anayewapa baraka, hivyo Rais Magufuli asiwahurumie, awafyekelee mbali.
 
Chadema wako bize kumpotosha Membe kama walivyompotosha Lowasa.

Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!
Mmenunua tani ngapi za korosho?? Kama hakuna majibu acha upumbavu
 
Umenena vyema. Ni mkakati mzuri. Wawangalie vizuri huenda wanapata ushawishi wa fedha na mambo mengine kutoka kwa mabeberu wa nje. Ikithibitika watoswe mapema.
Mabeberu yanayokuja ikulu kuongea na magufuli au?
 
Tanzanite gazeti chochezi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…