Tetesi: Bernard Membe na mtandao wao hawakufurahia uamuzi wa Rais Magufuli kununua korosho kwa wakulima tena kwa bei kubwa kuliko iliyopendekezwa

Chadema wako bize kumpotosha Membe kama walivyompotosha Lowasa.

Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!
 
Japo nina ' Upinzani ' wangu na Mheshimiwa Benard Membe hasa katika suala lake zima la Yeye kutaka kuwa Rais wa Tanzania na pia kuhusu ' Strategies ' zake kwasababu zangu ambazo nazijua mwenyewe ( na sihitaji niziweke hapa ) ila naomba nami leo niseme kwamba nadhani sasa huyu Benard Membe ' anaonewa ' tu na kuna Watu sasa wanataka ' Kuhalalisha ' maovu yao na unafiki wao kupitia mgongo wa Membe ili tu waaminike ama waaminiwe na mambo yao yaende sawa.

Benard Membe kama Mwanadamu, Mwanasiasa na Mwana CCM ( tena Kada kabisa ) ana mapungufu yake fulani fulani kama ambavyo Mimi GENTAMYCINE, Wewe na Yule tunayo lakini naanza kuona kama vile kuna Watu sasa ' nchi imewashinda ' hivyo wanataka kuanza ' Kuhalalisha ' huko ' Kushindwa ' Kwao kwa ' Kumsingizia ' Membe wakati ukweli ni kwamba waliaminiwa, wakapewa dhamana na kuna mahala ' wamekengeuka / wamekosea ' sasa yanawashinda wanakimbilia ' Kumsakama ' Mzee wa Watu Membe.

Jengeni nchi kama mlivyowaaminisha Watanzania na acheni Kumsumbua na Kumnyanyasa Mzee wa Watu Benard Membe. Sasa imetosha na hatutaki kusikia haya ' Malumbano ' ya ' Kipopoma / Kipumbavu ' ambayo sioni ' Tija ' yake kwa nchi na Taifa huku tukijua ya kwamba bado kuna matatizo mengi sana tena ya ' Kimaendeleo ' yanaisibu Tanzania yetu na Watanzania mmoja mmoja.

Binafsi ' nimechoka ' na huu Upuuzi / Upupu.

Kweli kabisa, mbaazi ukikosa maua husingizia jua.
 
View attachment 955390
Siasa za korosho zimemuinua zaidi Rais Magufuli na kumdhohofisha zaidi Bernard Membe katika ngome yake.

Kumekuwepo na tetesi kuwa, Bernard Membe, pamoja na mtandao wa watu wake wakiwemo, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia na wengine wanaotokea Mikoa ya Ukanda wa Pwani; hawakufurahishwa na uamuzi wa Serikali ya Awamu ya Tano, chini ya Rais Dk. John Pombe Magufuli wa kununua korosho kwa wakulima tena kwa bei ya juu kuliko iliyokuwa imepangwa hapo awali.

Maneno aliyoongea Nape Nnauye bungeni yanaonyesha wazi kuwa bado hawakufurahishwa na uamuzi wa Serikali kununua korosho kwani Nape badala ya kufafanua uamuzi wa Serikali kuamua kununua korosho tena kwa bei ya juu, yeye:
  • Aliwasifia wakulima kwa kuwa wavumilivu na watulivu.
  • Kukosoa Serikali kuwa, haikutumia busara kushughulikia sakata la korosho.
  • Kuitaka Serikali inunue haraka korosho ili wakulima wasipate hasara zaidi.
  • Halmashauri kuingia hasara kutokana na kutegemea korosho.

Aidha, akiwa ziarani mkoani Arusha, Rais Dk. John Pombe Magufuli aliwatuhumu baadhi ya wanasiasa kwa kutaka kuihujumu Serikali katika uuzaji wa zao la korosho. Alisema kuwa, baadhi yao walinunua korosho changa kwa wakulima katika mfumo wa kangemba na sasa wanataka kuiuza wakati hawana mashamba. Rais alisema korosho itakayonunuliwa ni ile ya wale watakaoonyesha mashamba yao na watakaoshindwa kuonyesha mashamba yao, korosho yao itataifishwa.

Hivyo, ni wazi kuwa, wanasiasa wa Mikoa ya Kusini anakotokea Membe na Nape, walijisikia vibaya sana kuona Serikali ikiamua kununua korosho tena kwa bei ya Tsh. 3,300.

So alichofanya Dk. Bashiru ni mwendelezo wa hatua za kisiri siri za kundi la Membe kuihujumu Serikali ya Awamu ya Tano, tena kwa kusaidiwa na baadhi ya Makada wa Chama, ambao wengi wao ndio waliokuwa Viongozi kwenye utawala uliopita na ambao wameachwa ama kutumbuliwa katika Awamu ya Tano.

Hata kujiuzulu nafasi ya uenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Hawa Ghasia ni kutokana kushindwa kwake kuishauri Serikali kwa kuwa, alikuwa katika kundi linalohujumu Serikali.

Kwa ujumla, kitendo cha Rais Dk. John Pombe Magufuli kuamua kununua korosho tena kwa bei ya juu ya Tsh. 3,300 kimewaacha Wapinzani wake ndani ya CCM midomo wazi kwani hawakutegemea kabisa kuwa, Serikali ingekuwa tayari kwenda that extra mile. Walijidai kumu-beep Magufuli, naye akawaoigia - sasa wanaugulia mioyoni mwao.

Na ghafula Kanda ya Ziwa, Kanda Kati, Kanda ya Kusini na Kanda ya Magharibi zimeenda kwa Magufuli huku Nyanda za Juu yote (isipokuwa Mbeya) ikiwa pia kwa Omuzilankende. Kanda ipi imebaki? Huko Kaskazini baada ya CHADEMA kumkorofisha has kumdharau Lowassa, ni wazi 2020, itakuwa nusu kwa nusu.

Ngoja tuone!!
2020 twende na Membe
 
Oooh,sasa ndo nimeelewa,kumbe Membe ndo amezuia korosho isinunuliwe kule mtwara/lindi,

halafu ghasia na nape nao hawaungi mkono juhudi za kununua korosho,

ndo maana zoezi linaenda polepole,,,ok,

sasa kama membe ana kangomba si mtaifishe?
Au labda kazificha hamuezi kuzifikia?
 
View attachment 955390
Siasa za korosho zimemuinua zaidi Rais Magufuli na kumdhohofisha zaidi Bernard Membe katika ngome yake.

Kumekuwepo na tetesi kuwa, Bernard Membe, pamoja na mtandao wa watu wake wakiwemo, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia na wengine wanaotokea Mikoa ya Ukanda wa Pwani; hawakufurahishwa na uamuzi wa Serikali ya Awamu ya Tano, chini ya Rais Dk. John Pombe Magufuli wa kununua korosho kwa wakulima tena kwa bei ya juu kuliko iliyokuwa imepangwa hapo awali.

Maneno aliyoongea Nape Nnauye bungeni yanaonyesha wazi kuwa bado hawakufurahishwa na uamuzi wa Serikali kununua korosho kwani Nape badala ya kufafanua uamuzi wa Serikali kuamua kununua korosho tena kwa bei ya juu, yeye:
  • Aliwasifia wakulima kwa kuwa wavumilivu na watulivu.
  • Kukosoa Serikali kuwa, haikutumia busara kushughulikia sakata la korosho.
  • Kuitaka Serikali inunue haraka korosho ili wakulima wasipate hasara zaidi.
  • Halmashauri kuingia hasara kutokana na kutegemea korosho.

Aidha, akiwa ziarani mkoani Arusha, Rais Dk. John Pombe Magufuli aliwatuhumu baadhi ya wanasiasa kwa kutaka kuihujumu Serikali katika uuzaji wa zao la korosho. Alisema kuwa, baadhi yao walinunua korosho changa kwa wakulima katika mfumo wa kangemba na sasa wanataka kuiuza wakati hawana mashamba. Rais alisema korosho itakayonunuliwa ni ile ya wale watakaoonyesha mashamba yao na watakaoshindwa kuonyesha mashamba yao, korosho yao itataifishwa.

Hivyo, ni wazi kuwa, wanasiasa wa Mikoa ya Kusini anakotokea Membe na Nape, walijisikia vibaya sana kuona Serikali ikiamua kununua korosho tena kwa bei ya Tsh. 3,300.

So alichofanya Dk. Bashiru ni mwendelezo wa hatua za kisiri siri za kundi la Membe kuihujumu Serikali ya Awamu ya Tano, tena kwa kusaidiwa na baadhi ya Makada wa Chama, ambao wengi wao ndio waliokuwa Viongozi kwenye utawala uliopita na ambao wameachwa ama kutumbuliwa katika Awamu ya Tano.

Hata kujiuzulu nafasi ya uenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Hawa Ghasia ni kutokana kushindwa kwake kuishauri Serikali kwa kuwa, alikuwa katika kundi linalohujumu Serikali.

Kwa ujumla, kitendo cha Rais Dk. John Pombe Magufuli kuamua kununua korosho tena kwa bei ya juu ya Tsh. 3,300 kimewaacha Wapinzani wake ndani ya CCM midomo wazi kwani hawakutegemea kabisa kuwa, Serikali ingekuwa tayari kwenda that extra mile. Walijidai kumu-beep Magufuli, naye akawaoigia - sasa wanaugulia mioyoni mwao.

Na ghafula Kanda ya Ziwa, Kanda Kati, Kanda ya Kusini na Kanda ya Magharibi zimeenda kwa Magufuli huku Nyanda za Juu yote (isipokuwa Mbeya) ikiwa pia kwa Omuzilankende. Kanda ipi imebaki? Huko Kaskazini baada ya CHADEMA kumkorofisha has kumdharau Lowassa, ni wazi 2020, itakuwa nusu kwa nusu.

Ngoja tuone!!
Eti huyu nae mwanamme,Wanaume wanaenda wanaisha Wallah,umebaki kutudharirisha Wana Mara wenzio kwa upuuzi wako,wote tunaonekana vilaza kwa ajili ya njaa zako,mwana Mara gani tena mwanaume wakujipendeza kwa wanaume wenzio kiasi hicho?.badilika unatuaibisha,unakera sana.
 
Machungu ya korosho tunayajua wenyewe! Nyinyi mnaanzisha nyuzi za kinafiki huku watu tumepoteza hela zetu kwenye uwekezaji! kila siku mnatudanganya Tanzania haina ukabila wakati ukiwa na vikorosho vyako kilo 200 unaulizwa shamba lako wapi na ukiwaonesha shamba watakuuliza wewe ni kabila gani, ukisema wewe msukuma, mchaga, au kabila lolote lisilokuwa la kusini unalala selo kwanza siku tatu then unaporwa na korosho na makofi juu. Ina maana mtu kufanya uwekezaji sehemu fulani lazima uwee mzaliwa wa sehemu hiyo.
Li serikali letu ni baguzi na jizi lisilo na huruma na watu wake! Linadhani mtu kwenda kuwekeza sehemu ni dhambi. Ujinga mtupu, watu tumepoteza hela zetu kuwekeza alafu unakuja kutupora mali zetu kiboya boya tuu, magu si mtu, na wanaomsifiwa kwenye hii ishu ya korosho ni wasio na uwezo wa kufanya kazi. Kazi yao ni kutengeneza ma id mapya tu kila siku jf na twita na kuanza kupiga mapambio.

Miaka ya nyuma nilikuwaga simwelewi mzee wangu kwa nini hawataki ccm na watu wake, nimeanza kumkubali alikuwaga sawa. Yeye ni mpinzani tangia miaka hiyo isiyo na vyama vingi, ni mpinzani wa miaka ya 80 aliyepata misukosuko tangia enzi za akina nyerere mpaka huyu ibilisi wa sasa! Akina mbowe hao hawajasumbuliwa. Muulizeni mzee wangu ataeasimulia mabaya ya ccm na vibaraka vyake.

Ccm ni adui wa nchi hii. Wanataka watajirike wao tuu, tukilima na kutafuta kwa jasho letu mashambani wanapora, tukianzisha biashara zetu kwa akili zetu tunaitwa sijui kagomba sijui wahujumu uchumi na wapiga dili, upumbavu mtupu! Wanataka wao pekee yao wawe 'KANGOMBA' wakuu. Wenzao wawe malofa tuu.

Wameniteketezea mtaji wangu kwenye mambo mengi sana hawa mbwa, dhambi yao itawafuata walahi.

Alafu mtu kama huyu aanzishe liuzi la kishenzi kama hili halafu nimpe like?? Waendelee kuiba tuu ila siku zao zinahesabika. Yaani mimi hela nitafute mimi na uwekezaji nifanye mimi kwa kuona fursa halafu wanipore kizembe hivi, sawa wao wana jeshi ila Mungu hajalala hata siku moja, makomeo atakufa kifo cha aibu huku kaachama mdomo wazi kwa roho mbaya yake tuu!
 
Umenena vyema. Ni mkakati mzuri. Wawangalie vizuri huenda wanapata ushawishi wa fedha na mambo mengine kutoka kwa mabeberu wa nje. Ikithibitika watoswe mapema.
Well said mzee. Watu na uelewa wao mdogo hawawezi kuelewa hujuma zinazofanywa na Watanzania kwa Nchi zao. Ingekuwa tunaambizana kwa uwazi, ungeshangaa kukuta kuwa, zaidi ya wale waliotajwa na Gazeti la Tanzanite, kuna mikubwa wao anayewapa baraka, hivyo Rais Magufuli asiwahurumie, awafyekelee mbali.
 
Chadema wako bize kumpotosha Membe kama walivyompotosha Lowasa.

Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!
Mmenunua tani ngapi za korosho?? Kama hakuna majibu acha upumbavu
 
Umenena vyema. Ni mkakati mzuri. Wawangalie vizuri huenda wanapata ushawishi wa fedha na mambo mengine kutoka kwa mabeberu wa nje. Ikithibitika watoswe mapema.
Mabeberu yanayokuja ikulu kuongea na magufuli au?
 
Well said mzee. Watu na uelewa wao mdogo hawawezi kuelewa hujuma zinazofanywa na Watanzania kwa Nchi zao. Ingekuwa tunaambizana kwa uwazi, ungeshangaa kukuta kuwa, zaidi ya wale waliotajwa na Gazeti la Tanzanite, kuna mikubwa wao anayewapa baraka, hivyo Rais Magufuli asiwahurumie, awafyekelee mbali.
Tanzanite gazeti chochezi wewe
 
Back
Top Bottom