Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
MSAMEHE BURE ANASUMBULIWA NA UGONJWA WA "MEMBEPHOBIA"We kijana ni hasara kwa wazazi wako na ni aibu kwa Taifa .
Ombi : Utoaji mimba uruhusiwe ili kuwanusuru wazazi na watoto wajinga kama huyu .
zimeshanunuliwa tani ngapi mpaka sasa, na ni wakulima wangapi wameshalipwa pesa yao taslimu?
Kuwa huyu ni speaker ambapo mic ipo Magogoni?Hahahaa...... Kwa mbali naanza kumuelewa Tanzanite original Hassan Ngoma!
Wewe unataka na wakulima wengine wakopwe na kudhulumiwa km wakulima wa korosho?Kuna wakulima wa mbaazi,pamba,mahindi na Choroko hawa pia ni Watanzania na kiuchumi wamepigika.Nilitegemea serikali yetu sikivu na yenye kujali walala hoi kuja na mikakati ya kuwakwamua wakulima wote.maana wote ni watoto wa baba mmoja.nilitegemea maslai ya wafanyakazi na watumishi wote wa serikali kuwa na mishahara minono na marupurupu.Marokea yake tumekuwa na Serikali ya ajabu kabisa ambayo aijawai tokea toka uhuru wa Tanganyika,serikali isiyofata Ilani ya Chama chake wala katiba ya nchi.Serikali inayotoa matamko kila kukicha,Serikali ambayo kila anaeitwa Kiongozi anasema anachotaka bila kujali matokeo ya matamko yake.Serikali ambayo mfanya biashara na mmiliki wa gari wanajuta kuitwa Watanzania. kwa kifupi Korosho ni moja tu ya Matatizo lukuki yanayoipelekesha Hii Serikali.Akuna Nape wala Ghasia wanaoikwamisha Serikali.Serikali inajiroga yenyewe.Isitafute mchawi
Mkuu Mbeya ipi unaizungumzia wewee.? Huko kote tayari wananchi wamemuelewa Rais Magufuli na kinachofuata ni ushindi wa kishindo 2020View attachment 955390
Siasa za korosho zimemuinua zaidi Rais Magufuli na kumdhohofisha zaidi Bernard Membe katika ngome yake.
Kumekuwepo na tetesi kuwa, Bernard Membe, pamoja na mtandao wa watu wake wakiwemo, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia na wengine wanaotokea Mikoa ya Ukanda wa Pwani; hawakufurahishwa na uamuzi wa Serikali ya Awamu ya Tano, chini ya Rais Dk. John Pombe Magufuli wa kununua korosho kwa wakulima tena kwa bei ya juu kuliko iliyokuwa imepangwa hapo awali.
Maneno aliyoongea Nape Nnauye bungeni yanaonyesha wazi kuwa bado hawakufurahishwa na uamuzi wa Serikali kununua korosho kwani Nape badala ya kufafanua uamuzi wa Serikali kuamua kununua korosho tena kwa bei ya juu, yeye:
- Aliwasifia wakulima kwa kuwa wavumilivu na watulivu.
- Kukosoa Serikali kuwa, haikutumia busara kushughulikia sakata la korosho.
- Kuitaka Serikali inunue haraka korosho ili wakulima wasipate hasara zaidi.
- Halmashauri kuingia hasara kutokana na kutegemea korosho.
Aidha, akiwa ziarani mkoani Arusha, Rais Dk. John Pombe Magufuli aliwatuhumu baadhi ya wanasiasa kwa kutaka kuihujumu Serikali katika uuzaji wa zao la korosho. Alisema kuwa, baadhi yao walinunua korosho changa kwa wakulima katika mfumo wa kangemba na sasa wanataka kuiuza wakati hawana mashamba. Rais alisema korosho itakayonunuliwa ni ile ya wale watakaoonyesha mashamba yao na watakaoshindwa kuonyesha mashamba yao, korosho yao itataifishwa.
Hivyo, ni wazi kuwa, wanasiasa wa Mikoa ya Kusini anakotokea Membe na Nape, walijisikia vibaya sana kuona Serikali ikiamua kununua korosho tena kwa bei ya Tsh. 3,300.
So alichofanya Dk. Bashiru ni mwendelezo wa hatua za kisiri siri za kundi la Membe kuihujumu Serikali ya Awamu ya Tano, tena kwa kusaidiwa na baadhi ya Makada wa Chama, ambao wengi wao ndio waliokuwa Viongozi kwenye utawala uliopita na ambao wameachwa ama kutumbuliwa katika Awamu ya Tano.
Hata kujiuzulu nafasi ya uenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Hawa Ghasia ni kutokana kushindwa kwake kuishauri Serikali kwa kuwa, alikuwa katika kundi linalohujumu Serikali.
Kwa ujumla, kitendo cha Rais Dk. John Pombe Magufuli kuamua kununua korosho tena kwa bei ya juu ya Tsh. 3,300 kimewaacha Wapinzani wake ndani ya CCM midomo wazi kwani hawakutegemea kabisa kuwa, Serikali ingekuwa tayari kwenda that extra mile. Walijidai kumu-beep Magufuli, naye akawapigia - sasa wanaugulia mioyoni mwao.
Na ghafula Kanda ya Ziwa, Kanda Kati, Kanda ya Kusini na Kanda ya Magharibi zimeenda kwa Magufuli huku Nyanda za Juu yote (isipokuwa Mbeya) ikiwa pia kwa Omuzilankende. Kanda ipi imebaki? Huko Kaskazini baada ya CHADEMA kumkorofisha na kumdharau Lowassa, ni wazi 2020, itakuwa nusu kwa nusu.
Ngoja tuone!!
Eti huyo nae mmetoka nae Mkoa mmoja wa Mara?Japo nina ' Upinzani ' wangu na Mheshimiwa Benard Membe hasa katika suala lake zima la Yeye kutaka kuwa Rais wa Tanzania na pia kuhusu ' Strategies ' zake kwasababu zangu ambazo nazijua mwenyewe ( na sihitaji niziweke hapa ) ila naomba nami leo niseme kwamba nadhani sasa huyu Benard Membe ' anaonewa ' tu na kuna Watu sasa wanataka ' Kuhalalisha ' maovu yao na unafiki wao kupitia mgongo wa Membe ili tu waaminike ama waaminiwe na mambo yao yaende sawa.
Benard Membe kama Mwanadamu, Mwanasiasa na Mwana CCM ( tena Kada kabisa ) ana mapungufu yake fulani fulani kama ambavyo Mimi GENTAMYCINE, Wewe na Yule tunayo lakini naanza kuona kama vile kuna Watu sasa ' nchi imewashinda ' hivyo wanataka kuanza ' Kuhalalisha ' huko ' Kushindwa ' Kwao kwa ' Kumsingizia ' Membe wakati ukweli ni kwamba waliaminiwa, wakapewa dhamana na kuna mahala ' wamekengeuka / wamekosea ' sasa yanawashinda wanakimbilia ' Kumsakama ' Mzee wa Watu Membe.
Jengeni nchi kama mlivyowaaminisha Watanzania na acheni Kumsumbua na Kumnyanyasa Mzee wa Watu Benard Membe. Sasa imetosha na hatutaki kusikia haya ' Malumbano ' ya ' Kipopoma / Kipumbavu ' ambayo sioni ' Tija ' yake kwa nchi na Taifa huku tukijua ya kwamba bado kuna matatizo mengi sana tena ya ' Kimaendeleo ' yanaisibu Tanzania yetu na Watanzania mmoja mmoja.
Binafsi ' nimechoka ' na huu Upuuzi / Upupu.
ungeniambia zao la ming'oko kidogo ningejua labda aliyekutuma angalau aliyemtuma kukutumia wewe labda amepata usingizi angalua wa lisaa limoja tangu hili jina la mbobezi Membe kutajwa lakini kwakuwa umekuja bila kuchanganya na za kwako karibu upokee vidonge kama ma lumpen wenzako hili upate usingiziView attachment 955390
Siasa za korosho zimemuinua zaidi Rais Magufuli na kumdhohofisha zaidi Bernard Membe katika ngome yake.
Kumekuwepo na tetesi kuwa, Bernard Membe, pamoja na mtandao wa watu wake wakiwemo, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia na wengine wanaotokea Mikoa ya Ukanda wa Pwani; hawakufurahishwa na uamuzi wa Serikali ya Awamu ya Tano, chini ya Rais Dk. John Pombe Magufuli wa kununua korosho kwa wakulima tena kwa bei ya juu kuliko iliyokuwa imepangwa hapo awali.
Maneno aliyoongea Nape Nnauye bungeni yanaonyesha wazi kuwa bado hawakufurahishwa na uamuzi wa Serikali kununua korosho kwani Nape badala ya kufafanua uamuzi wa Serikali kuamua kununua korosho tena kwa bei ya juu, yeye:
- Aliwasifia wakulima kwa kuwa wavumilivu na watulivu.
- Kukosoa Serikali kuwa, haikutumia busara kushughulikia sakata la korosho.
- Kuitaka Serikali inunue haraka korosho ili wakulima wasipate hasara zaidi.
- Halmashauri kuingia hasara kutokana na kutegemea korosho.
Aidha, akiwa ziarani mkoani Arusha, Rais Dk. John Pombe Magufuli aliwatuhumu baadhi ya wanasiasa kwa kutaka kuihujumu Serikali katika uuzaji wa zao la korosho. Alisema kuwa, baadhi yao walinunua korosho changa kwa wakulima katika mfumo wa kangemba na sasa wanataka kuiuza wakati hawana mashamba. Rais alisema korosho itakayonunuliwa ni ile ya wale watakaoonyesha mashamba yao na watakaoshindwa kuonyesha mashamba yao, korosho yao itataifishwa.
Hivyo, ni wazi kuwa, wanasiasa wa Mikoa ya Kusini anakotokea Membe na Nape, walijisikia vibaya sana kuona Serikali ikiamua kununua korosho tena kwa bei ya Tsh. 3,300.
So alichofanya Dk. Bashiru ni mwendelezo wa hatua za kisiri siri za kundi la Membe kuihujumu Serikali ya Awamu ya Tano, tena kwa kusaidiwa na baadhi ya Makada wa Chama, ambao wengi wao ndio waliokuwa Viongozi kwenye utawala uliopita na ambao wameachwa ama kutumbuliwa katika Awamu ya Tano.
Hata kujiuzulu nafasi ya uenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Hawa Ghasia ni kutokana kushindwa kwake kuishauri Serikali kwa kuwa, alikuwa katika kundi linalohujumu Serikali.
Kwa ujumla, kitendo cha Rais Dk. John Pombe Magufuli kuamua kununua korosho tena kwa bei ya juu ya Tsh. 3,300 kimewaacha Wapinzani wake ndani ya CCM midomo wazi kwani hawakutegemea kabisa kuwa, Serikali ingekuwa tayari kwenda that extra mile. Walijidai kumu-beep Magufuli, naye akawapigia - sasa wanaugulia mioyoni mwao.
Na ghafula Kanda ya Ziwa, Kanda Kati, Kanda ya Kusini na Kanda ya Magharibi zimeenda kwa Magufuli huku Nyanda za Juu yote (isipokuwa Mbeya) ikiwa pia kwa Omuzilankende. Kanda ipi imebaki? Huko Kaskazini baada ya CHADEMA kumkorofisha na kumdharau Lowassa, ni wazi 2020, itakuwa nusu kwa nusu.
Ngoja tuone!!
hili swali linauma na kuchoma zaidi ya mwiba wa katani.zimeshanunuliwa tani ngapi mpaka sasa, na ni wakulima wangapi wameshalipwa pesa yao taslimu?
Mbona upo vizuri kabisa, waache unafikiHuu waraka umejaa majungu
Imemuinua kwenye nini, wakati wakulima had I sasa hivi wanalia na haijulikani kama watoto wataenda shule January?View attachment 955390
Siasa za korosho zimemuinua zaidi Rais Magufuli na kumdhohofisha zaidi Bernard Membe katika ngome yake.
Kumekuwepo na tetesi kuwa, Bernard Membe, pamoja na mtandao wa watu wake wakiwemo, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia na wengine wanaotokea Mikoa ya Ukanda wa Pwani; hawakufurahishwa na uamuzi wa Serikali ya Awamu ya Tano, chini ya Rais Dk. John Pombe Magufuli wa kununua korosho kwa wakulima tena kwa bei ya juu kuliko iliyokuwa imepangwa hapo awali.
Maneno aliyoongea Nape Nnauye bungeni yanaonyesha wazi kuwa bado hawakufurahishwa na uamuzi wa Serikali kununua korosho kwani Nape badala ya kufafanua uamuzi wa Serikali kuamua kununua korosho tena kwa bei ya juu, yeye:
- Aliwasifia wakulima kwa kuwa wavumilivu na watulivu.
- Kukosoa Serikali kuwa, haikutumia busara kushughulikia sakata la korosho.
- Kuitaka Serikali inunue haraka korosho ili wakulima wasipate hasara zaidi.
- Halmashauri kuingia hasara kutokana na kutegemea korosho.
Aidha, akiwa ziarani mkoani Arusha, Rais Dk. John Pombe Magufuli aliwatuhumu baadhi ya wanasiasa kwa kutaka kuihujumu Serikali katika uuzaji wa zao la korosho. Alisema kuwa, baadhi yao walinunua korosho changa kwa wakulima katika mfumo wa kangemba na sasa wanataka kuiuza wakati hawana mashamba. Rais alisema korosho itakayonunuliwa ni ile ya wale watakaoonyesha mashamba yao na watakaoshindwa kuonyesha mashamba yao, korosho yao itataifishwa.
Hivyo, ni wazi kuwa, wanasiasa wa Mikoa ya Kusini anakotokea Membe na Nape, walijisikia vibaya sana kuona Serikali ikiamua kununua korosho tena kwa bei ya Tsh. 3,300.
So alichofanya Dk. Bashiru ni mwendelezo wa hatua za kisiri siri za kundi la Membe kuihujumu Serikali ya Awamu ya Tano, tena kwa kusaidiwa na baadhi ya Makada wa Chama, ambao wengi wao ndio waliokuwa Viongozi kwenye utawala uliopita na ambao wameachwa ama kutumbuliwa katika Awamu ya Tano.
Hata kujiuzulu nafasi ya uenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Hawa Ghasia ni kutokana kushindwa kwake kuishauri Serikali kwa kuwa, alikuwa katika kundi linalohujumu Serikali.
Kwa ujumla, kitendo cha Rais Dk. John Pombe Magufuli kuamua kununua korosho tena kwa bei ya juu ya Tsh. 3,300 kimewaacha Wapinzani wake ndani ya CCM midomo wazi kwani hawakutegemea kabisa kuwa, Serikali ingekuwa tayari kwenda that extra mile. Walijidai kumu-beep Magufuli, naye akawapigia - sasa wanaugulia mioyoni mwao.
Na ghafula Kanda ya Ziwa, Kanda Kati, Kanda ya Kusini na Kanda ya Magharibi zimeenda kwa Magufuli huku Nyanda za Juu yote (isipokuwa Mbeya) ikiwa pia kwa Omuzilankende. Kanda ipi imebaki? Huko Kaskazini baada ya CHADEMA kumkorofisha na kumdharau Lowassa, ni wazi 2020, itakuwa nusu kwa nusu.
Ngoja tuone!!
Machungu ya korosho tunayajua wenyewe! Nyinyi mnaanzisha nyuzi za kinafiki huku watu tumepoteza hela zetu kwenye uwekezaji! Pumbavu zenu nyie, kila siku mnatudanganya Tanzania haina ukabila wakati ukiwa na vikorosho vyako kilo 200 unaulizwa shamba lako wapi na ukiwaonesha shamba watakuuliza wewe ni kabila gani, ukisema wewe msukuma, mchaga, au kabila lolote lisilokuwa la kusini unalala selo kwanza siku tatu then unaporwa na korosho na makofi juu. Ina maana mtu kufanya uwekezaji sehemu fulani lazima uwee mzaliwa wa sehemu hiyo.
Li serikali letu ni baguzi na jizi lisilo na huruma na watu wake! Linadhani mtu kwenda kuwekeza sehemu ni dhambi. Ujinga mtupu, watu tumepoteza hela zetu kuwekeza alafu unakuja kutupora mali zetu kiboya boya tuu, magu si mtu, na wanaomsifiwa kwenye hii ishu ya korosho ni wapuuzi tuu wasio na uwezo wa kufanya kazi. Kazi yao ni kutengeneza ma id mapya tu kila siku jf na twita na kuanza kupiga mapambio.
Miaka ya nyuma nilikuwaga simwelewi mzee wangu kwa nini hawataki ccm na watu wake, nimeanza kumkubali alikuwaga sawa. Yeye ni mpinzani tangia miaka hiyo isiyo na vyama vingi, ni mpinzani wa miaka ya 80 aliyepata misukosuko tangia enzi za akina nyerere mpaka huyu ibilisi wa sasa! Akina mbowe hao hawajasumbuliwa. Muulizeni mzee wangu ataeasimulia mabaya ya ccm na vibaraka vyake.
Ccm ni adui wa nchi hii. Wanataka watajirike wao tuu, tukilima na kutafuta kwa jasho letu mashambani wanapora, tukianzisha biashara zetu kwa akili zetu tunaitwa sijui kagomba sijui wahujumu uchumi na wapiga dili, upumbavu mtupu! Wanataka wao pekee yao wawe 'KANGOMBA' wakuu. Wenzao wawe malofa tuu.
Wameniteketezea mtaji wangu kwenye mambo mengi sana hawa mbwa, dhambi yao itawafuata walahi.
Alafu mtu kama huyu aanzishe liuzi la kishenzi kama hili halafu nimpe like?? Waendelee kuiba tuu ila siku zao zinahesabika. Yaani mimi hela nitafute mimi na uwekezaji nifanye mimi kwa kuona fursa halafu wanipore kizembe hivi, sawa wao wana jeshi ila Mungu hajalala hata siku moja, makomeo atakufa kifo cha aibu huku kaachama mdomo wazi kwa roho mbaya yake tuu!
Huyo jamaa kama atakujibu niambie, sisi huku ntwara tunalia hakuna hela na korosha inshachukuliwa , malipo danadana. Mara ooh wanasiasa wanahujumu mara sijui kangombo wew kama hela unayo si ulipe hela ya watu .sasa unalilia nin au hiyo biashara hukuifanyia utafiti.zimeshanunuliwa tani ngapi mpaka sasa, na ni wakulima wangapi wameshalipwa pesa yao taslimu?
naamanisha kuwa Serikali iwasaidie pia wakulima wa mazao mengineWewe unataka na wakulima wengine wakopwe na kudhulumiwa km wakulima wa korosho?
Sasa kwani wakulima wa korosho wamesaidiwa au wamedhulumiwa?naamanisha kuwa Serikali iwasaidie pia wakulima wa mazao mengine