Tetesi: Bernard Membe na mtandao wao hawakufurahia uamuzi wa Rais Magufuli kununua korosho kwa wakulima tena kwa bei kubwa kuliko iliyopendekezwa

Leo ndo nimekutana na maajabu, kama ni kweli wanauliza hadi kabila na usipokuwa kabila wanalolitaka wanakufanyia huu unyama. BASI NAUNGA MKONO JIWE MUST GO BEFORE 2020.
 
Ww jamaa na wasiwasi na akil zako,,yaani ww kila mtu awe mstaafu au kiongozi,,una mzushia upuuzi wako,, iko siku hao unaowachafua wakikamata nchi watakuchinja kama alivyochinjwa kashogi,,maana ya Mungu mengi kijana,,hakuna alietegemea Mh Magufuri kama kuna siku atakuwa president,,lakini Mungu ana mipango mingi san,,na mjuzi wa mambo ya ghaibu,,

Sasa mzee baba mi nakushauri uwe unapunguza kasi yako ya kuchafua watu, hao unaowachafua kuna siku watashika madaraka katika Nchi utachezea shoka kama alizochezea Kashogy,, binadamu ana tabia ya kulipiza kwa wabaya wake ,, maana ww inapoendea nahisi utakuja kuwachafua mpk ma-CDF wetu wastaafu,,inabidi upunguzwe speed mapema,, wote tuna njaa ila ww mwenzetu njaa yako si ya nchii hii bwana Musiba
 
Kuna aliye angalia jana kipindi cha dakika 45 ITV? Waziri wa kilimo alisema kwa sasa korosho zinakusavywa tu halafu zitauzwa,then wakulima watakuja kulipwa.



Ina maana wamekopwa.. very sad
Una uhakika waziri amesema hivi?!!!
 
Hahahahaaaa

Mtaongea yote aisee....

Mtaongea kama kasuku.....sikujua kama Membe ni jitu linawaogopesha namna hii aisee!

CCM bana...mahoka matupu!
Hivi kwanini jiwe hajitokezi hadharani kupambana na Membe badala yake anatuma vidagaa ?
 
Wana CCM yamewafika hapa! baada ya kukazana na uenyekiti wa Mbowe kushindwa hatimae wamemtupa ndani, Mungu si John na ule msemo wa "what's goes around, comes around" umetimia, na wao yamewafika! CCM Hakukaliki, watu wanautaka uenyekiti wa Jiwe baada ya kuonekana kapwaya na kuishiwa pumzi!

NB: Lakini si alishasema kuwa Urais ni kazi ngumu hivyo utafurahi akipumzika? kwa nini mwenzake Membe kaonyesha nia ya kumsaidia afu anajaa upepo? madaraka matamu jamani!

2020 MEMBE(CCM) VS CHADEMA
 
pole sana kiongozi, ila wanatuaminisha kwamba tupo kwenye RAITI TRAKI Mungu baba awalaani wote
 
If you want to maintain power work well with bureucracy,JPM kuwa makini na kauli zako kwa watumishi.Membe mnamwonea tu.
Watamwoneaje hapo, kwa nini wengine waliogombea mwaka 2015 zaidi ya 20 hawana shida iweje huyu Membe.
What goes around comes around.
 
Hili suala la korosho lina habari kutoka vyanzo vingi hasa mitandaoni kuujua ukweli wa kinachojiri inahitaji umakini.....
 
Mtu mwenyewe ulichokiandika hujui unamaanisha nini.
TWENDE NA MEMBE 2020
 
Zimeshataifishwa ndio maana anahaha huku na huku, sijui wanakuja mitandaoni na kampuni za Membe eti awe Rais 2020, alikuwa wapi 2015?
 
Leo ndo nimekutana na maajabu, kama ni kweli wanauliza hadi kabila na usipokuwa kabila wanalolitaka wanakufanyia huu unyama. BASI NAUNGA MKONO JIWE MUST GO BEFORE 2020.

Yaani mtu kuwa na mazao eti ni kosa la jinai kweli! Tumeelewana na mkulima nimempa hela, kanipa mazao! Sasa mimi dhambi yangu ni ipi sasa hapo?? Kama wanawahurumia wakulima wao, wawe wanawawahishia hela ili wasiwe wanatukopa hela zetu kwa rehani ya mikorosho yao! Hela nitafute mimi na selo nilale mimi! This is not fair at all! Purely ukoloni! Basi wasiinunue korosho yangu kama mi si mkulima! Kwa nini wanipore wakati mi sijaiiba, nimeinunua kihalali kwa makubaliano na muuzaji! Ni unyonyaji mtupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…