Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimatifa wakati wa Serikali ya Tanzania, Bernard Membe ambaye mwezi Februari mwaka huu chama chake cha CCM kilipendekeza kumvua uanachama wake amesisitiza kuwa dhamira na uamuzi wake wa kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Bernard Membe amesisitiza kuwa ana nia hiyo kutokana na mazingira anayoyaona sasa hivi, na hiyo ni kuendana na katiba ya Chama Cha Mapinduzi, amenukuliwa akisema:
"Naomba kutumia nafasi hii kuwaambia wa Tanzania wasijewakadhani hata siku moja kwamba ni dhambi kupambana na Rais aliyopo madarakani, ukidhani kwamba ni dhambi ni ujinga hii ni haki yako yakikatiba unayo haki yakuchagua na kuchaguliwa".