Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Nina dhamira ya kuwania urais wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Nina dhamira ya kuwania urais wa Tanzania

Magufuli atashinda kwa 100% by the way who is Membe? Alishafukuzwa kama Mbwa koko aende zake huko

Sasa kama atashinda kwa 100% mbona mmeprint form moja na huku mtaani mmemwaga POLICCM?

By the way kaa chini unywe maji Bwashee ili upunguze hasira 😂 😂😂
 
🎶🎶Acha waseme Chama cha Mapinduzi kina wenyeweeee🎶🎶......in JKs voice
 
Acha kujibaraguza eti unanijua FISI wewe!!! Aliyekwambia niko Marekani nani shetani wewe? Acha kujikomba komba kwangu SITUMII hiyo kitu wapelekee wengine wakakune mbwa koko wewe. Ungekuwa hata na 5% ya IQ yangu usingeandika huo ujinga wako. Ni bora tu ungetupwa jalalani ili kupunguza majuha Nchini.
Kama kujua tu kuwa Membe si mwanaccm inakuchukua miaka ukifundishwa Calculus unazimia ukiongezewa na Anatomy you got paralysis
 
Nmemsikiliza Membe naona huyo jamaa safari ya kwenda ACT au Chadema imeiva. Namnukuu:

"kama sitapata haki yangu ya kugombea ndani ya ccm ntaitafuta nje ya ccm"
"unaweza kupanda basi toka Mtama kwenda dar lakini likikushusha njiani unapanda hata bodaboda kufika unakokwenda"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaleyale ya Lowasa yanajirudia. Jiandaeni kuzungusha mikono na kudeki barabara.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Mzee naona umeanza rasmi kazi ya kupiga ramli ghafla!!
 
wanasiasa ni wahuni sana.yeye akiwa waziri kwa nini hakushawishi tume huru?
Mkuu achana na hawa washabiki wa hapa jf wajingawajinga kina BAK,

Kama una MB msikilize vizuri, huyo anajiandaa kwenda chadema au ACT, na hata hilo la Tume huru ni kujaribu kuwakoga wapinzani ili angalau waone wanaiva chungu kimoja,!

Anajua kabisa ndani ya ccm hana chake,

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Tena jambo kubwa sana ambalo linaweza kuitikisa Nchi na kuacha kishindo kikubwa sana huku Watanzania tukiingia mitaani kwa furaha kubwa sana ya nduli kupigwa mweleka na hatimaye miezi michache ijayo kupandishwa kizimbani kwa mashtaka yake chungu nzima kuhusu maovu yake mbali mbali kabla hajaingia Ikulu na baada ya kuingia Ikulu na HATAPEWA DHAMANA.

Ndani ya CCM kuna jambo....!!
 
Maneno mazito kutoka kwa Kada wa CCM asilia, mpaka sasa watu kimya mitaa ya Ofisi Ndogo Lumumba Dar es Salaam na kule Makao Makuu ya CCM Dodoma.

Uzi huu wanausoma na kupita kama hawajauona na wale wanaojitutumua CCM Mpya badala ya kujikita ktk hoja wanaonesha hasira na kwenda nje ya mada
 
Mzee naona umeanza rasmi kazi ya kupiga ramli ghafla!!
Acha mihemko naomba msikilize vizuri huyo Membe neno kwa neno kisha njoo hapa useme unaona Membe anamwelekeo gani?
Hiyo kauli yake kuanzia sasa hadi oktoba kinaweza kutokea chochote ina maana kubwa sana.

Jiandaeni kudeki barabara.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Shukrani nimekuelewa ila nilishamuweka kwenye ile list yetu ya buku 7 maana alikuwa ananitafutia nipigwe BAN. Ahsante sana 🙏🏽

Usibidhane na buku saba, upeo wake umeishia kwenye urojo
 
Tena jambo kubwa sana ambalo linaweza kuitikisa Nchi na kuacha kishindo kikubwa sana huku Watanzania tukiingia mitaani kwa furaha kubwa sana ya nduli kupigwa mweleka na hatimaye miezi michache ijayo kupandishwa kizimbani kwa mashtaka yake chungu nzima kuhusu maovu yake mbali mbali kabla hajaingia Ikulu na baada ya kuingia Ikulu na HATAPEWA DHAMANA.
Hili libak hili lingese sana utasubiri mpaka unakufa kifaranga ww Magufuli ni level za Rais Maarufu Duniani tutamuongezea atawale miaka 30 Rafa ww utaparalyse
 
Maneno mazito kutoka kwa Kada wa CCM asilia, mpaka sasa watu kimya mitaa ya Ofisi Ndogo Lumumba Dar es Salaam na kule Makao Makuu ya CCM Dodoma.

Uzi huu wanausoma na kupita kama hawajauona na wale wanaojitutumua CCM Mpya badala ya kujikita ktk hoja wanaonesha hasira na kwenda nje ya mada
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kule wanatenda ila Membe anaongea, nadhani unaona tofauti yake hapo.

Ccm si kama chadema

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Huyu Baba kichekesho sana. Mimi ningekuwa niyeye ningemuunga mkono raisi maana anafanya kazi nzuri. Ni kipi Membe ataleta kizuri au Magu hajafanya?
Au watu tunataka kurudi kwenye kupiga??God forbid Membe hawezi kuwa raisi wa JMT
Wewe ndio kichekesho tena Kinyago kabisa cha Mfalme Jiwe.
 
Pambana na huyo Magufuli mpaka kieleweke. Washa moto ndani ya CCM ili kumtoa Ikulu. Anajua fika kwamba ukichukua form KWISHA HABARI yake kwani wengi ndani ya CCM hawataki hata kusikia sauti yake au kumuona sura yake.
Kati ya Membe na Lisu kura yako unampa nani ?
 
Pambana na huyo Magufuli mpaka kieleweke. Washa moto ndani ya CCM ili kumtoa Ikulu. Anajua fika kwamba ukichukua form KWISHA HABARI yake kwani wengi ndani ya CCM hawataki hata kusikia sauti yake au kumuona sura yake.
Mkuu kimenuka !
 
Back
Top Bottom