Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Nina dhamira ya kuwania urais wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Nina dhamira ya kuwania urais wa Tanzania

Wewe ni ZWAZWA tu wa kungoja urushiwe makombo ndani ya ccm kwa vile babaako ni shoga na akakufundisha na wewe kuufanya huo upuuzi basi unadhani ni kila mtu yuko hivyo. Mbwa koko wewe.

Hivi wewe huwa uwezi kujadili bila matusi? Una matatizo ya kisaikolojia!
 
...umekata tiketi wiki moja kabla ya safari hadi ukachagua siti yako unayoipenda kwenye basi zuri daraja la kwanza, siku ya safari unakuta gari limeondoka! Membe achana na CCM kamata NAJIMUNISA tukutane Nyegezi!
 
Membe amechoka, body language inaonyesha na tu vicheko dhaifu vinaonekana, pia mishipa ya shingo inatuna utafikili cobra.
Ili kuweka rekodi yake kama mtu aliyeshiriki kushindana na magufuri kuwania uraisi nafasi hiyo ipo ACT peke yake zaidi ya hapo akamsaidie hashim rungwe kufufua chama au dovutwa.
 

Lugha anayoongea Membe ya ' utaratibu wa ovyo ushamba na upumbavu' siyo lugha yenye taadhima kwa mtu tunayeambiwa eti ni mwanadiplomasia aliyebobea.Kwa kweli anavyoongea ni mtu aliyekata tamaa kabisa ambapo nadhani huko baadae atahitajika kupata tiba ya kisasikologia. Huu mfumo ndani ya chama cha mapinduzi wakati wa kuchukua fomu katika awamu ya miaka mitano ya mwisho ya urais haujaanzia kwa Magufuli.Membe anaongea kwa hisia na chuki kali sana wakati mfumo huo walikaa nao kwa miaka yote.Kwa hili Membe nia yake ni kuleta fujo tu.Kwa nini asingeenda basi Dodoma awaambie wampe fomu kwa sababu anadai hajafukuzwa kwenye chama? yeye si anajinasibu kwamba ni mtu anayejiamini ? Sidhani ,Membe ni Mwoga tu.Kama ana hao wafuasi wengi si ameshakaribishwa kwa Zitto Kabwe aende akagombee huko ?
Kwa kifupi Membe ,Tanzania yote sasa hivi ipo na Magufuli.Hata huko kusini unaposema ni kwenu watakushangaza.Magufuli siyo namba ya kawaida kwa sasa hapa Tanzania.
Tunasikia eti una nasaba na Rais wa awamu ya nne lakini matarajio yako yaligonga mwamba wakati ule na hakuweza kukusaidia kwa lolote.
Badala ya kuongea maneno ambayo hayana taadhima kwa hadhi yako ,nenda chama kingine ujaribu au muombe Mungu wako CCM wakusamehe halafu ujipange kwa 2025 ,siyo mbali ,hapo utajua kwamba unakubalika au vipi kwa sababu mtachukua fomu zaidi ya watia nia 40.Na kwa tabia hii unayoijenga kwa sasa,ukichukua fomu 2025 ndipo utakapojua kwa nini wimbo wa taifa hauna Video.
 
Keshapigwa na chenye ncha Kali na kamati ya maadili....
Ila mh.Benard Membe anajiamini mno..
Akizielezea sifa zake ni lazima ukubali jamaa kichwa na mbobezi haswa....

Kinachonichekesha tu ni kuziweka pembeni sifa zake TUNDUIZI na kuchagua njia ambayo haitamfikisha anakokutaka....

All and all,he is intelligent and determinant mno.Nikiwa kijana ninatamani kumuona tena mbobezi huyu akirudi nyumbani kwetu CCM baada ya kumwandikia barua mwenyekiti wa chama kuomba UANACHAMA upya na kukiri usumbufu aliousababisha kwa wanachama wote kwani tunampenda na kujua ni HAZINA ya taifa HILI..

Ninaamini ATASAMEHEWA Kama alivyosamehewa mh.Lowassa na MAKANDOKANDO YAKE yote....

Mfikishieni habari kuwa tunampenda na tutasikitika kumuona anajiunga na chama Cha UPINZANI halafu tukutane nae katika UCHAGUZI na akose kupata Kura hata laki 3,kwani ninaamini hatozifikisha.

Hali ya kuzipata hizo Kura zake chache itampunguzia ile heshima yake kubwa aliyonayo na itamfanya asikumbukwe katika historia Kama ile aliyoiweka mh.Lowassa ya zile Kura milioni 6.

Ninaamini atayasoma haya na kabla ya mwezi wa 8 atakuwa ameshachukua HATUA ya kubaki katika chama na tutakuwa naye majukwaani kulinadi jembe letu Magufuli.

Sempre sempre El commandante BCM.
Hasta la Victoria,aluta continua.

Kidumu chama Cha Mapinduzi.
 

A failing failure! He just talks about past tenses.
Sijui kwa nini hakumbuki hata mambo waliyoyafanya baada ya awamu ya 4 kuingia madarakani. Anasifia kuachiana vijiti wakati waliingia wakijiita wana mtandao na kumuweka Mkapa mafichoni. Naona pia anapenda kupokea sifa za mitandaoni. Akiitwa mbobezi, anaamini kweli ni mbobezi. Ilikuwa ni janga kwa mawazo haya kuyaruhusu kuongoza nchi. Nahisi kuna lengo tofauti nje ya siasa kiasi kwamba anapata presha.
 
Mbona wakati bado Ni mwana CCM hakuyasema haya.
Je kwahaya yanayoendelea itakuwa nikosa Membe kumuita mnafiki?
 
Back
Top Bottom