Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Nina dhamira ya kuwania urais wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Nina dhamira ya kuwania urais wa Tanzania



Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimatifa wakati wa Serikali ya Tanzania, Bernard Membe ambaye mwezi Februari mwaka huu chama chake cha CCM kilipendekeza kumvua uanachama wake amesisitiza kuwa dhamira na uamuzi wake wa kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bernard Membe amesisitiza kuwa ana nia hiyo kutokana na mazingira anayoyaona sasa hivi, na hiyo ni kuendana na katiba ya Chama Cha Mapinduzi, amenukuliwa akisema "Naomba kutumia nafasi hii kuwaambia wa Tanzania wasijewakadhani hata siku moja kwamba ni dhambi kupambana na Rais aliyopo madarakani,ukidhani kwamba ni dhambi ni ujinga hii ni haki yako yakikatiba unayo haki yakuchagua na kuchaguliwa".

Kati ya June hadi Oct lolote linaweza kutokea - Jasusi
 
Wewe na MATAGA wenzio muungeni mkono huyo JIWE lakini Membe na CCM tuliowengi na Umma wa Tanzania tunamng'oa Jiwe mwaka huu 2020. Jiwe ni one term President.
Magufuli atashinda kwa 100% by the way who is Membe? Alishafukuzwa kama Mbwa koko aende zake huko
 
Membe siyo mpumbavu! Anafahamu fika ndani ya Ccm ana kundi kubwa tu linalo muunga mkono na lisilo pendezwa na udikteta unao endelea kutamalaki kwenye chama na nchi kwa ujumla.

Nina imani kungekua na uchaguzi huru na haki, mwaka huu angemgaragaza Rais aliyeko madarakani kwa kura nyingi sana endapo tu angegombea kupitia chama chochote kile cha kisiasa. Watanzania wanataka kuishi maisha bora, na siyo bora maisha.
Membe ni takataka hana tofauti na waigizaji wengine tu
 
Pambana na huyo Magufuli mpaka kieleweke. Washa moto ndani ya CCM ili kumtoa Ikulu. Anajua fika kwamba ukichukua form KWISHA HABARI yake kwani wengi ndani ya CCM hawataki hata kusikia sauti yake au kumuona sura yake.
Mtakoma mwaka huu matetezi ya majizi na mashoga nyie
 
Wewe ni ZWAZWA tu wa kungoja urushiwe makombo ndani ya ccm kwa vile babaako ni shoga na akakufundisha na wewe kuufanya huo upuuzi basi unadhani ni kila mtu yuko hivyo. Mbwa koko wewe.

Membe mpeni agombee CHADEMA ccm tulishamfyatua huyo shoga yenu
 
Pambana na huyo Magufuli mpaka kieleweke. Washa moto ndani ya CCM ili kumtoa Ikulu. Anajua fika kwamba ukichukua form KWISHA HABARI yake kwani wengi ndani ya CCM hawataki hata kusikia sauti yake au kumuona sura yake.
Nmemsikiliza Membe naona huyo jamaa safari ya kwenda ACT au Chadema imeiva. Namnukuu:

"kama sitapata haki yangu ya kugombea ndani ya ccm ntaitafuta nje ya ccm"
"unaweza kupanda basi toka Mtama kwenda dar lakini likikushusha njiani unapanda hata bodaboda kufika unakokwenda"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaleyale ya Lowasa yanajirudia. Jiandaeni kuzungusha mikono na kudeki barabara.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni ZWAZWA tu wa kungoja urushiwe makombo ndani ya ccm kwa vile babaako ni shoga na akakufundisha na wewe kuufanya huo upuuzi basi unadhani ni kila mtu yuko hivyo. Mbwa koko wewe.
Kwa sababu MTU mwenye akili timamu haongei ujinga kama wako Membe alishafukuzwa Si mwanaCCM aende ACT tumchanechane kama karatasi mwepesi huyo akipata hata kura 100000 namnunulia V8
 
Hakika huyo Membe atakuwa anamkosesha usingizi huyo jiwe hapo Magogoni/Chamwino

Between now and October this year, tutashuhudia kile ambacho mwenyewe Membe amekiita kitaleta mshindo mkubwa ndani na nje ya Tanzania!
Ni zigo lenu hilo, kama si chadema basi ni ACT, msikilize vizuri kila neno utamwelewa.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Acha kujibaraguza eti unanijua FISI wewe!!! Aliyekwambia niko Marekani nani shetani wewe? Acha kujikomba komba kwangu SITUMII hiyo kitu wapelekee wengine wakakune mbwa koko wewe. Ungekuwa hata na 5% ya IQ yangu usingeandika huo ujinga wako. Ni bora tu ungetupwa jalalani ili kupunguza majuha Nchini.

IQ yako ndogo sana Kilaza kabisa huna akili yaweza kuwa huko Marekani wanakudanyizia
 
wanasiasa ni wahuni sana.yeye akiwa waziri kwa nini hakushawishi tume huru?
 
Akichukua unitag mkuu, nianze kutafuta kadi yangu ya mpiga kura maan ahata sijui iko wapi
Lini sasa atachumua fomu syo kuongeaongea tu tunataka vitendo
 


Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimatifa wakati wa Serikali ya Tanzania, Bernard Membe ambaye mwezi Februari mwaka huu chama chake cha CCM kilipendekeza kumvua uanachama wake amesisitiza kuwa dhamira na uamuzi wake wa kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Bernard Membe amesisitiza kuwa ana nia hiyo kutokana na mazingira anayoyaona sasa hivi, na hiyo ni kuendana na katiba ya Chama Cha Mapinduzi, amenukuliwa akisema:

"Naomba kutumia nafasi hii kuwaambia wa Tanzania wasijewakadhani hata siku moja kwamba ni dhambi kupambana na Rais aliyopo madarakani, ukidhani kwamba ni dhambi ni ujinga hii ni haki yako yakikatiba unayo haki yakuchagua na kuchaguliwa".

Mimi si MATAGA ila frankly speaking, JPM kajijengea empire kubwa sana ya kidola. Kumtoa pale atasubiri sana
 
Back
Top Bottom