Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Nina dhamira ya kuwania urais wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Nina dhamira ya kuwania urais wa Tanzania

Hakika huyo Membe atakuwa anamkosesha usingizi huyo jiwe hapo Magogoni/Chamwino

Between now and October this year, tutashuhudia kile ambacho mwenyewe Membe amekiita kitaleta mshindo mkubwa ndani na nje ya Tanzania!
Membe ana mikwara ya kitoto. Kitamkuta kilichomkuta Ulimboka halafu mje kulalamika kwenye keyboard kama kawaida yenu.
 
Membe siyo mpumbavu! Anafahamu fika ndani ya Ccm ana kundi kubwa tu linalo muunga mkono na lisilo pendezwa na udikteta unao endelea kutamalaki kwenye chama na nchi kwa ujumla.

Nina imani kungekua na uchaguzi huru na haki, mwaka huu angemgaragaza Rais aliyeko madarakani kwa kura nyingi sana endapo tu angegombea kupitia chama chochote kile cha kisiasa. Watanzania wanataka kuishi maisha bora, na siyo bora maisha.
Hana impact ya lowassa, kama lowasa alishindwa na kilikua kipindi kipya kabisa maana rais mpya alihotajika kwa sasa asahau...
 
Magufuli anataka kuwa dikteta wakati kidhungu hajui. Atabaki kua dikteta muoga maisha yake yote. Mshamba tupishe,
Membe chukua form tuanze upya.
 
Magufuli anataka kuwa dikteta wakati kidhungu hajui. Atabaki kua dikteta muoga maisha yake yote. Mshamba tupishe,
Membe chukua form tuanze upya.
Yanatanga tanga Mara Lisu Mara Membe yanachezeshwa sondimba Tangatanga political party (TPC)
 
Hana impact ya lowassa, kama lowasa alishindwa na kilikua kipindi kipya kabisa maana rais mpya alihotajika kwa sasa asahau...

Achana na Lowassa yule mzee wa Vibration huyu yupo ngangari na mjenzi wa hoja. Mwaka huu patachimbika,mfikishie salamu mzee wa sitwaangusha na kupiga pushups 😂 😂 😂
 
Huyu Baba kichekesho sana. Mimi ningekuwa niyeye ningemuunga mkono raisi maana anafanya kazi nzuri. Ni kipi Membe ataleta kizuri au Magu hajafanya?
Au watu tunataka kurudi kwenye kupiga??God forbid Membe hawezi kuwa raisi wa JMT
Eti nini? Membe hawezi kuwa rais wa JMT?
Kama Magu kaweza nani atashindwa?
 
Membe kawapoteza kabisa ufipa, hamna hata airtime hata kutoka ufipa kwenyewe wamejisahau...
 
Kila kitu kibabe duniani nacho kina mbabe wake jiwe kauwekea goti shingoni upinzani, naye kawekewa goti shingoni na kachero mbobezi, jiwe can't breathe!
 
Kwa hiyo unamaanisha Lissu hawezi kumshinda membe?
Membe siyo mpumbavu! Anafahamu fika ndani ya Ccm ana kundi kubwa tu linalo muunga mkono na lisilo pendezwa na udikteta unao endelea kutamalaki kwenye chama na nchi kwa ujumla.

Nina imani kungekua na uchaguzi huru na haki, mwaka huu angemgaragaza Rais aliyeko madarakani kwa kura nyingi sana endapo tu angegombea kupitia chama chochote kile cha kisiasa. Watanzania wanataka kuishi maisha bora, na siyo bora maisha.
 
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimatifa wakati wa Serikali ya Tanzania, Bernard Membe ambaye mwezi Februari mwaka huu chama chake cha CCM kilipendekeza kumvua uanachama wake amesisitiza kuwa dhamira na uamuzi wake wa kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Bernard Membe amesisitiza kuwa ana nia hiyo kutokana na mazingira anayoyaona sasa hivi, na hiyo ni kuendana na katiba ya Chama Cha Mapinduzi, amenukuliwa akisema:

"Naomba kutumia nafasi hii kuwaambia wa Tanzania wasijewakadhani hata siku moja kwamba ni dhambi kupambana na Rais aliyopo madarakani, ukidhani kwamba ni dhambi ni ujinga hii ni haki yako yakikatiba unayo haki yakuchagua na kuchaguliwa".

Kuogopa ni ujinga
 
Pambana na huyo Magufuli mpaka kieleweke. Washa moto ndani ya CCM ili kumtoa Ikulu. Anajua fika kwamba ukichukua form KWISHA HABARI yake kwani wengi ndani ya CCM hawataki hata kusikia sauti yake au kumuona sura yake.
Umepona na Covid-19 huko Marekani?
 
Back
Top Bottom