Amechanganyikiwa Membe jamani.Hayupo normal.Anahitaji msaada wa kisaikologia huyu !A failing failure! He just talks about past tenses.
Sijui kwa nini hakumbuki hata mambo waliyoyafanya baada ya awamu ya 4 kuingia madarakani. Anasifia kuachiana vijiti wakati waliingia wakijiita wana mtandao na kumuweka Mkapa mafichoni. Naona pia anapenda kupokea sifa za mitandaoni. Akiitwa mbobezi, anaamini kweli ni mbobezi. Ilikuwa ni janga wa mawazo haya kuyaruhusu kuongoza nchi. Nahisi kuna lengo tofauti nje ya siasa kiasi kwamba ananata presha.
Huyu chizi kweli, sijui km ziko sawa kama awali au anazeeka vibaya
Maembe ni mfano halisi ya watu ving'ang'anizi wa madaraka wanaotajwa na JPM (kwao uongozi ni swala la kufa na kupona) - lazima wapate, wasipopata wanahujumu
A task is to face it, and not escape it!Si ahame CCM amelazimishwa kwan?
Ni mwana ccm anayezungumzia kuhusu demokrasia ndani ya ccm na Taifa.Si ahame CCM amelazimishwa kwan?
Sio kweli Tanzania kuna demokrasia
Maembe ni mfano halisi ya watu ving'ang'anizi wa madaraka wanaotajwa na JPM (kwao uongozi ni swala la kufa na kupona) - lazima wapate, wasipopata wanahujumu
Hapo kachemka sana tuYaani Membe alipofikia kwenye kusema Magufuli hakufanya vyema kwenye corona nimempuuza. Kama hatukufanya vyema mbona amezungukwa na watu huku hajavaa barakoa?
Lugha anayoongea Membe ya ' utaratibu wa ovyo ushamba na upumbavu' siyo lugha yenye taadhima kwa mtu tunayeambiwa eti ni mwanadiplomasia aliyebobea.Kwa kweli anavyoongea ni mtu aliyekata tamaa kabisa ambapo nadhani huko baadae atahitajika kupata tiba ya kisasikologia. Huu mfumo ndani ya chama cha mapinduzi wakati wa kuchukua fomu katika awamu ya miaka mitano ya mwisho ya urais haujaanzia kwa Magufuli.Membe anaongea kwa hisia na chuki kali sana wakati mfumo huo walikaa nao kwa miaka yote.Kwa hili Membe nia yake ni kuleta fujo tu.Kwa nini asingeenda basi Dodoma awaambie wampe fomu kwa sababu anadai hajafukuzwa kwenye chama? yeye si anajinasibu kwamba ni mtu anayejiamini ? Sidhani ,Membe ni Mwoga tu.Kama ana hao wafuasi wengi si ameshakaribishwa kwa Zitto Kabwe aende akagombee huko ?
Kwa kifupi Membe ,Tanzania yote sasa hivi ipo na Magufuli.Hata huko kusini unaposema ni kwenu watakushangaza.Magufuli siyo namba ya kawaida kwa sasa hapa Tanzania.
Tunasikia eti una nasaba na Rais wa awamu ya nne lakini matarajio yako yaligonga mwamba wakati ule na hakuweza kukusaidia kwa lolote.
Badala ya kuongea maneno ambayo hayana taadhima kwa hadhi yako ,nenda chama kingine ujaribu au muombe Mungu wako CCM wakusamehe halafu ujipange kwa 2025 ,siyo mbali ,hapo utajua kwamba unakubalika au vipi kwa sababu mtachukua fomu zaidi ya watia nia 40.Na kwa tabia hii unayoijenga kwa sasa,ukichukua fomu 2025 ndipo utakapojua kwa nini wimbo wa taifa hauna Video.
Maembe ni mfano halisi ya watu ving'ang'anizi wa madaraka wanaotajwa na JPM (kwao uongozi ni swala la kufa na kupona) - lazima wapate, wasipopata wanahujumu
Democracy is overrated. Watu tufundishwe nidhamu, respect kwa watu wote, uzalendo na hofu ya Mungu tu.Kuna kitu kimoja ambacho kinaonekana wazi katika haya mazungumzo ya Bwana Membe iwe unakubaliana au haukubaliani na hoja zake. Ule utaratibu wa kuruhusu mijadala kwenye vyama vyote wakati wa uchaguzi tena hasa kwa nafasi ya Uraisi ulikua ni muhimu sana ili kujua misimamo na uwezo wa kila mgombea.
Nakumbuka Mwl. Nyerere alisema utaratibu wa kumpata mgombea wa Urais kwa CCM ni utaratibu wa "Mzengwe". Tena alipoondoka yeye imekua ni "Mizengwe". Maana yake ni kwamba hakuna uwazi wa kutosha na pengine kuchaguliwa mshika Bendera wa CCM hua ni maamuzi ya watu wachache. Kumbuka kua unapomtangaza mgombea Urais kutoka Chama Cha Mapinduzi asilimia kubwa umemtangaza rais wa Tanzania
Hatari ya mizingwe kwenye kumpata mgombea ni kwamba ipo siku atapitishwa mgombea ambaye hajulikani vyema, asiye na uwezo na atakayekuja kuivuruga nchi
Tabia hii imerithiwa na vyama vingine vyote vya upinzani na pengine katika sura ya kushangaza zaidi. Kwenye vyamaupinzani wanaweza wakakaa watu wachache kwenye chama wakamchagua mtu ambaye pengine wala hana itikadi ya chama husika na labda kajiunga nao muda mfupi tu wakamkaribisha hadi chumbani na kumpa bendera ya chama chao kugombea Urais wa nchi!!!!
Hii maana yake wanasiasa wote wako tayari kutumia kila njia, kila hila, kila kituko ili mradi waingie ikulu kwa sababu wanadhani(pengine ndivyo ilivyo) wakishashika dola wataweza kutumia advantage ya kua na serikali kufanya mambo mengine yote wanayotaka hata ikiwa ni kuvunja katiba au kinyume na sheria. Bado tuna safari ndefu sana kama taifa kuhusiana na kitu kinachoitwa demokrasia ya kweli
Membe alicheza karata zake vibaya, angejua JPM hatutakuwa nae nina hakika angevumiliaYametimia