Bernard Membe rasmi ACT Wazalendo, kutambulishwa kesho

Bernard Membe rasmi ACT Wazalendo, kutambulishwa kesho

Kwa hiyo ni lazima vyama vyote vya upinzani wamuunge mkono mgombea wa CHADEMA?
Hapana,wanaweza kumuunga mkono hata wa CHAUMA,swala hapa ni kwamba lazima wawe na mgombea mmoja anayekubalika zaidi kama lengo lao ni kushinda uchaguzi.

Kwa hali ilivyo Zitto interest yake ni kukuza chama kadri iwezekanavyo kupitia uchaguzi huu,wala sio kushinda uchaguzi.Zitto malengo yake yatafanikiwa100/%.
 
Hapana,wanaweza kumuunga mkono hata wa CHAUMA,swala hapa ni kwamba lazima wawe na mgombea mmoja anayekubalika zaidi kama lengo lao ni kushinda uchaguzi.Kwa hali ilivyo Zitto interest yake ni kukuza chama kadri iwezekanavyo kupitia uchaguzi huu,wala sio kushinda uchaguzi.Zitto malengo yake yatafanikiwa100/%.

Wewe umeaje kwamba Zitto hataki ushirikiano?

Nimemsikiliza Membe akihojiwa na Kubenea amesema yupo tayari kumuunga mkono mgombea yoyote anayekubalika zaidi ndani ya upinzani,na Zitto anaongea nauli hiyo hiyo.

Labda CHADEMA haipo tayari kumuunga mkono mgombea wa ACT? Kama ni hivyo huo ni ubinafsi ni bora kila chama kisimame kivyake ili kujijenga. CCM haiwezi kutawala milele nchi hii lazima itadondoka tu.
 
Kupigwa kwa Shilole kulitikisa Nchi kuliko kujitoa kwake Ccm
 
Nasikiasikia tetesi huku mitaani kwetu eti Jasusi mbobevu keshamwaga wino kusaini kandarasi ya miaka mitano kuwatumikia wazee wa kupandisha tanga na kushusha tanga, mtujuze na sisi basi maana hizi ndio zilizokiki.
 
Nasikiasikia tetesi huku mitaani kwetu eti Jasusi mbobevu keshamwaga wino kusaini kandarasi ya miaka mitano kuwatumikia wazee wa kupandisha tanga na kushusha tanga, mtujuze na sisi basi maana hizi ndio zilizokiki.
Chama cha Kigoma?
 
Bado uzi wako umekaa kimafumbofumbo tu, unamfumbia nani? Jimwage uwe free
........
IMG_20200715_153421_882.JPG
 
Jiwe mwaka huu anakunya akigeuka Julia anashindiliwa ngumi za uhakika na kachero mbobezi, akienda kushoto anakutana na kipigo cha mbwa koko toka kwa lissu yaani dikiteta uchwara hachomoki
 
Kesho tarehe 16 Julai 2020, aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje kwenye serikali ya awamu ya 4, Mwanasiasa na Mwanadiplomasia Na kachero mbobezi @BenMembe atazungumza na Wanachama wa @ACTwazalendo
Ukumbi: Mlimani City
Muda: Saa 4.00 Asubuhi.
Waandishi wote mnakaribishwa https://t.co/toK4YCjEfj
IMG_20200715_154023.jpg
 
Wanaondoka kwa kukosa maslahi then wanageuzwa mitaji ktk chama chao kwa udhaifu wa upinzani
Haya maneno machache umeyatumia kwa ufasaha kweli!

Watu wanaimba ngonjera tu hapa za kuwepo mipango ya CCM kuwapeleka kwa nia ya kuhujumu vyama vingine, kana kwamba CCM wanao uwezo wa kufanya hivyo.
 
Hii chama ni mali ya TISS..

Kumbuka kiliporwa toka kwa wanyonge

Kiongozi mkuu ni TISS kama mrema..

Membe yupo kazini kuhakilisha ushindi wa ccm..

Analipwa kwa kazi hii ya kipumbafuuu
 
Back
Top Bottom