iboyamwaka2020
JF-Expert Member
- Jan 14, 2020
- 725
- 844
Hapana,wanaweza kumuunga mkono hata wa CHAUMA,swala hapa ni kwamba lazima wawe na mgombea mmoja anayekubalika zaidi kama lengo lao ni kushinda uchaguzi.Kwa hiyo ni lazima vyama vyote vya upinzani wamuunge mkono mgombea wa CHADEMA?
Hapana,wanaweza kumuunga mkono hata wa CHAUMA,swala hapa ni kwamba lazima wawe na mgombea mmoja anayekubalika zaidi kama lengo lao ni kushinda uchaguzi.Kwa hali ilivyo Zitto interest yake ni kukuza chama kadri iwezekanavyo kupitia uchaguzi huu,wala sio kushinda uchaguzi.Zitto malengo yake yatafanikiwa100/%.
Chama cha Kigoma?Nasikiasikia tetesi huku mitaani kwetu eti Jasusi mbobevu keshamwaga wino kusaini kandarasi ya miaka mitano kuwatumikia wazee wa kupandisha tanga na kushusha tanga, mtujuze na sisi basi maana hizi ndio zilizokiki.
........Bado uzi wako umekaa kimafumbofumbo tu, unamfumbia nani? Jimwage uwe free
Zito Hana lolote na hicho kichama chake Cha kigoma. Ni mharinifu tu sawa na membe, wote wanatumika na ccmWanaenda kugawa kura za upinzani.Itachukua miaka mingi kupata upinzani serious nchi hii.
Atakula mkong'oto huyu mpk Piko anayopaka kichwani itaisha.Grave mistake...
Ataweza mikiki ya policcm? Au atakimbia kama wenzake
Haya maneno machache umeyatumia kwa ufasaha kweli!Wanaondoka kwa kukosa maslahi then wanageuzwa mitaji ktk chama chao kwa udhaifu wa upinzani
Kwanini zisiwe kura za CCM?Wanaenda kugawa kura za upinzani.Itachukua miaka mingi kupata upinzani serious nchi hii.