Bernard Membe rasmi ACT Wazalendo, kutambulishwa kesho

Kosea Kuoa Ila Siyo Kuchagua

Ukikosea Kuoa Mke Mnaweza Kuachana Muda Huo Huo
Lakini Ukikosea Kuchagua Hadi Miaka 5 Iishe!!!
😀😁😂😅😄😄😃😃
 
Yale yale ya lowasa baada ya kushindwa mwenyewe atarudi chamani
 
Membe kafukuzwa lowasa hakufukuzwa...
Membe na Lowassa wote wana mangumashi mengi ambayo ili kuyalinda lazima wawe CCM, ngoja "kesi" za Membe and Co. Ltd zianze uone moto wake! Afrika kuna mazingaombwe na sio siasa!
 
Moja alisema maadui zake watakimbilia nairobi vile sasa sijui yeye atakimbilia zombe
 
Ni haki yake, ila tuseme ukweli kidogo, Membe ana ubongo mzuri, kama umemsikiliza vema akiongea na Mwanahalisi online, IQ yake vizuri, ingawa ameondoka CCM, nimtakie kila la kheri, after all ni maisha, duniani hapa, hivyo Mungu akubariki huko ACT Wazalendo.
 
Hata Kama akirudi ccm poa tu cha msingi amtikise jiwe maana jiwe anajiona yeye ndo mungu wa wadanganyika
 
Hivi wakatinaamviwa hamuwezi kuungana kwani mda hautoshi hamkusikia?

God save us
 
Hii chama ni mali ya TISS..

Kumbuka kiliporwa toka kwa wanyonge

Kiongozi mkuu ni TISS kama mrema..

Membe yupo kazini kuhakilisha ushindi wa ccm..

Analipwa kwa kazi hii ya kipumbafuuu
Wazee mmezidi ramli
 
Cut9c9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…