Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

Huyu nae ni kichaa mwingine. Sasa waru wenyewe hawana habari nae wala hata hawajamsemesha yeye anapayuka nini tena? Walishamfuta uanachama sasa huo msamaha ni upi? Hahahaaaaa. Keshachanganyikiwa huyo.
Sio kwamba sisi tunaomtumia msg nyingi kutwa kuchwa ndio tumechanganyikiwa
 
Chadema. Makapi hayo kutoka CCM. Wahini mpate mgombea wa uraisi. Yule wakala wa mabeberu alie ughaibuni watanzania hawatamsikiliza. Hasa sera zake za kutetea ndoa za jinsia moja
 
Chadema. Makapi hayo kutoka CCM. Wahini mpate mgombea wa uraisi. Yule wakala wa mabeberu alie ughaibuni watanzania hawatamsikiliza. Hasa sera zake za kutetea ndoa za jinsia moja
Acha kumdharirisha mwana ccm mwenzio..kwn ninyi c ndo mmehalarisha hayo Mambo??
 
Mwanasiasa sio mtu wa kumuamini 100% Ngoja niweke akiba ya maneno.
 
Mkuu ndiyo maana tunakaa darasani miaka na miaka ili kuondoa hizo tofauti za matamshi kuhamia kwenye maandishi. Si unakumbuka kuanzia darasa la kwanza ndiyo safari ya kujifunza kusoma na kuandika inaanza? Tangi kipindi hicho ndiyo mtu unajifunza kuandika vitu maneno kama GARI, AJIRA, etc.. na ukikosea mwalimu anakusahihisha. Sasa kama kuna mtu anasoma mpaka kwa mfano chuo kikuu na hajui kuandika ajira na badala yake anaandika ajila si hakuwa makini huyo? Hebu fikiria watu wote duniani wangekuwa wanaandika maneno ya lugha ya kiingereza kulingana na matamshi ya lugha ya asili, tungeelewana kweli? Sentensi kama ''Hello, are you a lorry driver'' ingeweza kusomeka ''Herro, are you a rolly dlifer''? . Kuondoa hili ndiyo maana tunaenda shule. Na hapa sizungumzii makosa ya bahati mbaya katika ambayo kila mtu anaweza kufanya. Kinachofanyika Tanzania sasa hivi ni uzembe na tujitahidi kujirekebisha.
 
Mkuu ulikuwepo??
 
Mwamba wa Kusini amenena moja kwa moja kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Kuna maswali?



View attachment 1470338
When you're a looser, you have nothing to loose! Ushujaa gani wakati ulishafeli?
Membe hatarudi ktk siasa tena. yeye atulie tu! Mtu aliyewekwa mgongoni bado hakubebeka, lini atapata sifa ya kisiasa? He is gone! Kwa hili yaonekana hakujua maana ya siasa. Alidhani atapewa kama alivyopewa uwaziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…