Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

Basi hapo chadema mtashangilia kweli kweli!

Na muweke akiba ya maneno maana wakigeuka mnaanza tena kulia.

Membe ni mwanasiasa huyo hana tofauti na Kinana au Msigwa.
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒindeed
 
Huyu mzee hebu averify account yake.... maana tunaweza toa povu hapa kesho tukaambiwa account sio yangu
 
Hakuna kitu pale.

Keshatimuliwa chamani hana madhara yeyote, mshauri aende zake tu act pengine atapata hata ubunge
Katimuliwa au kamati imedhamiria kumtimua? Kutimuliwa bado, hadi mkutano mkuu. Japo si rahisi mkutano kwenda tofauti na mapendekezo ya ile kamati.
 
Huyu nae ni kichaa mwingine. Sasa waru wenyewe hawana habari nae wala hata hawajamsemesha yeye anapayuka nini tena? Walishamfuta uanachama sasa huo msamaha ni upi? Hahahaaaaa. Keshachanganyikiwa huyo.
 
Sinema inaendelea

Wanasiasa hawaaminiki rejea Kwa sumaye na Eduard Loassa
Yaani aombe msamaha/asiombe atajijua mwenyewe huko.

Ila Chadema huyu hatakiwi kuja,ataenda kugombea urais kupitia ACT ili akazigawe kura za urais kwa wagombea wa upinzani na ndivyo watakavyofanya na akishashindwa urais kama ilivyo ada atarudi zake CCM.
 
Mtu wa kusini akiamua lake linatimia...... huyo ni Mmwera pure! Wengi wao ni masikini jeuri kwani yupo radhi afe njaa kuliko kuomba chakula kwa adui au mtu aliyemkera, so kama atatumia msimamo huo wa Kimwera sitoshangaa.
 
Ngoja apigwe ambush mbili Tatu,ataenda kuomba mwenyewe, uzuri hawa ndio walimlea chatu
 
Back
Top Bottom