Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

Ulijua kama Lijuakali yule aliyefungwa miezi 6 kuna siku kama ya leo atakuwa ccm?

Tukiwaonya muwe mnatega vizuri masikio yenu
Ni kweli. Kwa wanasiasa tegemea chochote. Hasa hawa wa kiafrika. Ni wanafiki sana sana. Magufuli mwenyewe ni katili na muuaji wa kutupwa lakini kwenye hotuba kila dakika haishi kumtaja Mungu.
 
Boss wako dikteta ..Ni moja ya characteristics zao kupenda kunyenyekewa na kulambwalambwa.
Hili la kupenda kunyenyekewa na kuabudiwa kama Mungu mimi huwa linanifanya nijisikie vibaya sana na kuona aibu kila nikiona watu wazima na familia zao wanashindana kumtaja na kumsifia.

Hivi inakuwaje binadamu tu unapenda kusifiwa na kuabudiwa namna hii jamani? Mimi ninapomsaidia mtu halafu akaanza kunishukuru na kunisifia kupita kiasi huwa najisikia vibaya sana.
 
Hili la kupenda kunyenyekewa na kuabudiwa kama Mungu mimi huwa linanifanya nijisikie vibaya sana na kuona aibu kila nikiona watu wazima na familia zao wanashindana kumtaja na kumsifia. Hivi inakuwaje binadamu tu unapenda kusifiwa na kuabudiwa namna hii jamani? Mimi ninapomsaidia mtu halafu akaanza kunishukuru na kunisifia kupita kiasi huwa najisikia vibaya sana.


Ili uweze kufuzu kua dikteta lazima uwe na hizo sifa za unyekevu wa kijinga namna hio yani akilambwalambwa yeye ndio huwa anaskia raha.Ss inatia huruma na aibu kwa watu wazima kama kina Nape, Kinana etc kufanya yale waloyafanya ni aibu sana watu wazima na familia na wajukuu kutokwa na utu wao kabisa, alaf mbele ya jamii kabisa aisee.
 
hope Membe anafaham jambo analo deal nalo...

asije baadaye kula matapishi.!? japo hakatazwi..
 
Hakuna msomi pale, kina Kibajaj?
Unafikiri ile ccm ni ya wajinga kama kina Seif wa Cuf Lipumba alipo andika barua ya kujiuzulu wakakaa kimya?

Ccm inaendeshwa kisomi
 
Usijipaishe mkuu, huko hawajui kitu,


Wewe unawajua Washairi kutoka Kigoma- ujiji??

1---Shk Kaluta Amri Abeid kaluta.
2--- Saadan Abdul kandoro.
3--- Akilimali Snowhite.

Hao ni baadhi tu ya Waswahili kutoka kigoma.
 
Bavicha bhana, yaani mko bize kushangilia mwana sisiemu aliyevuliwq uwnachama ila born n raised wa sisiemu, hivi mnajua kuwa kuna uchaguzi miezi 4 ijayo?
 
Back
Top Bottom