macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ni kweli. Kwa wanasiasa tegemea chochote. Hasa hawa wa kiafrika. Ni wanafiki sana sana. Magufuli mwenyewe ni katili na muuaji wa kutupwa lakini kwenye hotuba kila dakika haishi kumtaja Mungu.Ulijua kama Lijuakali yule aliyefungwa miezi 6 kuna siku kama ya leo atakuwa ccm?
Tukiwaonya muwe mnatega vizuri masikio yenu