Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

kwenye kikao cha saa saba mchana siku ya mchakato wa kuteua majina ya uraisi july 2015 kuna makubaliano yalifanyika kuwa jpm atawale miaka mitano halafu amwachie membe!!!sasa naona jpm kagoma anataka atawale hadi pale moyo wake wa betri utakaposimama ndio uwe mwisho wa utawala wake!!!tusubiri tuone!!!
Akili gani hiyo? Ktk tatu bora Membe hakuwemo. Kama alikubali hilo lije kutokea, basi ni bwege! Kwa nini umwachie urais mtu bwege?
 
Kitakachofuata Ni kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi au kuambiwa sio RAIA.
 
Ni Upuuzi tu kumuomba, Kumpigia magoti binadamu mwenzio badala ya Mungu..

Eti unaomba msamaha kwa mtu anaye vuna dhambi kila siku na kufanya maovu?

Wakina Lissu na watu waliopotea akiwa Rais mbona yeye ajaomba msamaha?

Kamwe hata mimi siwezi kuomba msamaha kwa kumsema mtu kwamba anaongoza nchi ovyo tena kwenye simu eti kisa nimesema mshamba kwani ushamba ni tusi?

Wasio na pakushika tu na mafisadi ndio wanaweza kujikomba kama walivyofanya Kinana, Makamba, Ngeleja na Nape.

Akwillina, Azory, Ben Saanane, Mawazo, Lwejabe na wengine hata kama familia zao hazijaombwa msamaha.

R. I. P.
Alisha kwenda kukili kwa watumishi was Mungu 🤣🤣🤣
 
Anasema amepokea simu nyingi kumuuliza msimamo wake,Asema Hatoomba radhi Hajamkosea Mtu yeyote yule.Asema mtu anaomba radhi kama amemkozea mtu au amekuwa blackmail.
 
Urais membe asahau.hakuna mjinga anaeza mwacha maguful akampigia membe..mbowe mwenyew atampigia magufuli
 
Back
Top Bottom