Ni Upuuzi tu kumuomba, Kumpigia magoti binadamu mwenzio badala ya Mungu..
Eti unaomba msamaha kwa mtu anaye vuna dhambi kila siku na kufanya maovu?
Wakina Lissu na watu waliopotea akiwa Rais mbona yeye ajaomba msamaha?
Kamwe hata mimi siwezi kuomba msamaha kwa kumsema mtu kwamba anaongoza nchi ovyo tena kwenye simu eti kisa nimesema mshamba kwani ushamba ni tusi?
Wasio na pakushika tu na mafisadi ndio wanaweza kujikomba kama walivyofanya Kinana, Makamba, Ngeleja na Nape.
Akwillina, Azory, Ben Saanane, Mawazo, Lwejabe na wengine hata kama familia zao hazijaombwa msamaha.
R. I. P.