Akili gani hiyo? Ktk tatu bora Membe hakuwemo. Kama alikubali hilo lije kutokea, basi ni bwege! Kwa nini umwachie urais mtu bwege?kwenye kikao cha saa saba mchana siku ya mchakato wa kuteua majina ya uraisi july 2015 kuna makubaliano yalifanyika kuwa jpm atawale miaka mitano halafu amwachie membe!!!sasa naona jpm kagoma anataka atawale hadi pale moyo wake wa betri utakaposimama ndio uwe mwisho wa utawala wake!!!tusubiri tuone!!!
Hivi Membe kosa lake ni lipi kweli?Hata mchungaji Msigwa alimwambiaga hivyo hivyo mzee Kinana kwamba kamwe hatamwomba radhi na kama anamind aende mahakamani.
Kilichofuatia wote tunakijua.
Alisha kwenda kukili kwa watumishi was Mungu 🤣🤣🤣Ni Upuuzi tu kumuomba, Kumpigia magoti binadamu mwenzio badala ya Mungu..
Eti unaomba msamaha kwa mtu anaye vuna dhambi kila siku na kufanya maovu?
Wakina Lissu na watu waliopotea akiwa Rais mbona yeye ajaomba msamaha?
Kamwe hata mimi siwezi kuomba msamaha kwa kumsema mtu kwamba anaongoza nchi ovyo tena kwenye simu eti kisa nimesema mshamba kwani ushamba ni tusi?
Wasio na pakushika tu na mafisadi ndio wanaweza kujikomba kama walivyofanya Kinana, Makamba, Ngeleja na Nape.
Akwillina, Azory, Ben Saanane, Mawazo, Lwejabe na wengine hata kama familia zao hazijaombwa msamaha.
R. I. P.
Mwamba wa Kusini amenena moja kwa moja kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Kuna maswali?
View attachment 1470338
Angekuwa mwoga kama huyo anaewatisha watu kwa majeshi na polisi, angeomba msamahaHakuna mtu mwoga kama Membe
Mafisi wanashida na msamaha wake ndio maana wamemtumia meseji nyingi na jibu lake umelionaHuyu jamaa lofa sana, sasa nani anashida na msamaha wake, apambane na khali yake.
Sent using Jamii Forums mobile app