Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

hajafukuzwa , kamati kuu ilipendekeza afukuzwe , wakagwaya baada ya kuonywa , ndio kisa cha Mangula kulishwa sumu
Unaweza kuweka ushahidi hapa?

Sisi tunajua Katibu Mkuu wa chama alitangaza kutimuliwa kwa Membe chamani, sasa hayo madai yako hebu tuwekee ushahidi hapa.
 
Ccm, ndy maana mpo hapa

Una ushahidi kwamba mimi ni CCM? Fuatilia michango yangu for the last 10 years na ushee then uje na ushahidi. Wewe ni pimbi tu ambaye umevamia meli hata hujui inakwenda wapi.
 
Back
Top Bottom