Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

Hata mchungaji Msigwa alimwambiaga hivyo hivyo mzee Kinana kwamba kamwe hatamwomba radhi na kama anamind aende mahakamani.

Kilichofuatia wote tunakijua.
Wacheni kujibaraguza nyinyi magamba, kwa Membe hamna ujanja wa kumfanya lolote
 
Jasusi mbobezi hatetereki[emoji2]

Hana lolote huyo Membe. Katika watu wasioamini hao wanaccm wachafu, mimi ni mmojawapo. Unaweza kukuta anachimba huo Mkwara, kumbe lengo lake ni kujiwekea mazingira ya kupewa ulaji.
 
Una ushahidi kwamba mimi ni CCM? Fuatilia michango yangu for the last 10 years na ushee then uje na ushahidi. Wewe ni pimbi tu ambaye umevamia meli hata hujui inakwenda wapi.
Comment yako inakuweka huko, pimbi na panya wanatofsutiana, wewe ni panya buku. Ukimwaga mkojo nakumwagia uharo
 
Thubuutuuuuu, kaguswa nini? Yaani unatabiri mvua kunyesha kipindi cha masika alafu unajisifu?
Kuna kuguswa zaidi ya kutimuliwa chamani?. Ccm siyo chadema! Ccm chama kwanza mtu baadae
 
Hana lolote huyo Membe. Katika watu wasioamini hao wanaccm wachafu, mimi ni mmojawapo. Unaweza kukuta anachimba huo Mkwara, kumbe lengo lake ni kujiwekea mazingira ya kupewa ulaji.
Kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom