Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

Mtu mwoga angeshalamba viatu.

Ukiona hivyo ujue bado roba ya mbao ya ccm haijamshika pazuri, au ccm hawajamuahidi nafasi nzuri. Huyo Membe ni mchafu kama walivyo wanaccm wote waandamizi, na Magufuli anajua siri zao zote. Sio kwamba Magufuli ni msafi, bali ndiye aliyeshika mpini, na sio mvumilivu mnapoanza kuvutana. Watu wanaompa Magufuli shida ni kama kuna Lisu ambao sio wachafu. Ila akina Mkapa, JK, Lowassa, Membe, makamba anageuza kama atakavyo.

Magufuli yeye kashaanza kunusa mbali, ndio maana anaanza kujiwekea kinga ya kutoshtakiwa yeye na genge lake wanaosimamia na kuendesha uovu hivi sasa. Hao akina Membe hawakupata hiyo akili maana walikuwa na hofu ya katiba kwa mbali. Ila huko waliko wanajilaumu sana wakiona mwenzao kageuza katiba kama gazeti la michezo.
 
Unajuwa Mh wetu kuna mambo alipaswa yapotezea Ila kwa hili naona kama ni hatari sana Membe kuna kitu anajuwa nauwenda kinamuuma sana sote atujuwi. Ila ugumu unakuja nani wakumvika paka kengele? Hujipendi? Nakama ukimgusa hauwez tikisa Nchi? ,,nani wako nyuma yake na wana agenda gani? Je ukigusanisha moto na milipuko haviwez tokea?
kwenye kikao cha saa saba mchana siku ya mchakato wa kuteua majina ya uraisi july 2015 kuna makubaliano yalifanyika kuwa jpm atawale miaka mitano halafu amwachie membe!!!sasa naona jpm kagoma anataka atawale hadi pale moyo wake wa betri utakaposimama ndio uwe mwisho wa utawala wake!!!tusubiri tuone!!!
 
Haaaaahaaaaahaaaa nimecheka sana,chukua mbege lita moja ntalipa
Yule aliomba msamaha for a reason; wanasema ana makontena yake hajayalipia ushuru, sasa kama unajiamini wewe ni msafi msamaha wa nini?!
 
Mwamba wa Kusini amenena moja kwa moja kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Kuna maswali?



View attachment 1470338
Kosa kubwa ambalo binadamu wengi uwa tunakosea ni kutojua ni muda gani sahihi wa kuacha jambo (not to know when to quit). Hili lilimkumba Sumaye pia hakujua ni muda gani wa kuachana na siasa hadi akageuka kituko.
 
Back
Top Bottom