Bernard Membe: Tanzania diplomasia imeshuka awamu hii. Tutatengwa na majirani wakiona hatufuati vigezo vya WHO kupambana na COVID19

Tueni mzigo wenu huu
 
Hapa ndipo mnapojidanganya!
Hakuna Bandari zingine kwani Africa?
Kwanza mzigo wa Zambia umepungua tu sana Dar Port..

Wanatumia zaidi Beira- Msumbiji, Walvis Bay-Namibia, Lobito-Angola na Durban SA
 

Kabla ya mafuriko tulianza kupoteza volume ya Zambia via Beira. Anyways kuna hatari mbele yetu.
 
Kwa Taarifa yako, Vifo vya Corona havipungui 50 kila siku, ndo maana Jiwe Mwanzo aliamuru wazikwe Usiku alipoona anatukanwa akajidai wazikwe kawaida na ndugu
 
Mtumwa wa fikra utamtambua tu!! Hata akiwa na uwezo namna gani bado hawezi kujiamini!! Tunaishi kwa kodi zetu pamoja na kwamba mabeberu wametupora sana!! Wanakasirika sana kuona ofisi namba moja haiingiliki!!
Kodi kiasi gani unalipa wewe? Clueless idiot
 
Nauliza tu kupanua ufahamu wangu:
Anaposema kuigharimu Tanzania 'kiunajimu' anamaanisha nini? Je, 'suluhisho la ulimwengu' juu ya Corona ni lipi?
Mbona amefafanua yote, soma tena habari yote. Suluhisho la dunia ni kufuata maelekezo yote ya WHO ikiwamo lockdown na cha muhimu kupima kwa wingi pamoja na kufunga mikusanyiko ya aina yoyote sio kuchagua ipi isimamishwe. Kiufupi fuatilia maelezo ya WHO kama yamefuatiliwa yote.
 
huna akili we mzee...
kwani corona ilianzia Tanzania ?

walishindwa kuidhibiti huko ilikoanzia wanaleta vimbelemble sasa hivi ??
 
Mtu mweusi kweli hajiamini !

Usa kila siku analitukana shirika la afya kuwa linatumika na China
Magufuli kuwa challenges Ndio iwe kosa?

Huyu Baba sijui Kwanini hampendi Rais wetu


Wewe unafikiri sauti ya USA na Tanzania ni sawa !.
 
Mtu mweusi kweli hajiamini !

Usa kila siku analitukana shirika la afya kuwa linatumika na China
Magufuli kuwa challenges Ndio iwe kosa?

Huyu Baba sijui Kwanini hampendi Rais wetu
Hata wewe hujiamini, mbona hata simu ,nguo viatu chupi ulizovaa zote zimebuniwa na mtu mweupe ,hata simu uliyonunuliwa na wazazi wako vyote ni vya watu weupe.
 
Nyie Praise team ndio mnaoua watanzania wenzenu bila kujua.
 
Sukumawiki ni mboga ya majani yenye vitamin C.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…