Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #121
Hakuna cha u turn. Watanzania tumeshaamua mwaka huu ni Tundu Antiphas Lissu tu kwa Uraisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Haijalishi nani yupo nae na nani hayupo nae. Tumeshasema sisi watanzania tunamchagua Tundu Antiphas Lissu kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025Ndio wapinzani wetu hawa. Soon zitaanza U turn
Hata ikiwa Akudo Impact itaeleweka tu dakika ya 90Bado gani??? Huyo pandikizi lenu Membe hana impact yeyote
Namemshitukia baada ya kumsimisha,hivyo imebidi wabadili gia angani.ACT kulikuwa na hsjs gani ya kumsimamisha membe wakati mnamuunga mkono lisu?
Hawajisahau wanajua wanalolifanya............"Just Making A Statement"Jasusi akiwa bado asset hajitambulishi wala hawajulikani huwezi kuwa jasusi halafu ukajianika huyo sio jasusi mbobezi. ila huyu ni kama alivyokuwa kina Sumaye wale walitumwa kazi maalumu ila CDM wakashtuka mapema kabla ya uchaguzi. 2015 habari nyingi zilipenyezwa CCM hata wale waliohama kama kina Silinde na yule aliyekuwa mkuu wa wilaya Dodoma wale ni walitumwa tu. Sumaye kwenye ule mkutano walioitwa ikulu wastaafu wote akajisahahu na kusema, kuwa kwangu upinzani ni kwa manufaa ya CCM, hapo nikajuwa mzee kajisahahu watu wakamshtukia wakamlia timing kumdhalilisha, uchaguzi wa Pwani mgombea pekee hana upinzani akapigwa chini kwa aibu. revenge done.
. Furaha Hii ni kwa sababu Kuu kuwa ile siku yetu muhimu i karibu sana. Tumebakiza siku Saba watanzania tuandike historia kuu, itakayosomwa na kuheshimiwa na vizazi na vizazi.[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]Amani iwe nanyi wadau!
Kwa wapenda mabadiliko wenzangu napenda kuwasalimu kwa furaha sana. Furaha Hii ni kwa sababu Kuu kuwa ile siku yetu muhimu i karibu sana. Tumebakiza siku Saba watanzania tuandike historia kuu, itakayosomwa na kuheshimiwa na vizazi na vizazi.
Naomba nirudi kwenye mada. Leo Kiongozi wa ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif ametoa maneno mazuri na mazito sana akimzungumzia Mgombea wao wa kiti ya Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Ndugu Bernad Kamilius Membe kuwa kama Chama kimeshaamua kumuunga mkono Tundu Antiphas Lissu hivyo pamoja na yeye kuwa mgombea hivyo aheshimu maamuzi ya Chama.
Baada ya maneno haya ya Maalim Seif, CCM wameamua kuuvalia njuga huu mjadala kujaribu kuleta picha kuwa hili suala linaweza kuharibu kura za upinzani.
Napenda kuwapa pole sana wana CCM kwa hoja zao hizi mfu wanazojaribu kuzileta kwa sababu kamwe haziwezi fanikiwa na hii ni kwa sababu zifuatazo.
1. Wapenda Mabadiliko waliojitoa kweli kufanya mabadiliko mwaka huu walishajua kuwa Membe si mwana mageuzi. Walijua kuwa yeye ni Lumumba project na walikuwa wanasubiri tu muda ufike aoneshe rangi zake halisi. Mungu anatupenda sana Watanzania rangi halisi za Membe zimeshaonekana. Hivyo suala la Membe kukataa kumuunga mkono Lissu kamwe haliwezi kuwastaajabisha Watanzania. Huyu anajulikana na alishaonekana tangu awali.
2. Membe kumuunga mkono au kutomuunga mkono Tundu Antiphas Lissu haiwezi kupunguza vyovyote kura za kimbunga atakazopata Tundu Antiphas Lissu mwaka huu. Watanzania wengi wameshaamua kwenda na Lissu na kuachana na Magufuli na CCM yake baada ya miaka zaidi ya 50 ya mateso chini ya CCM. Anachofanya Membe ni michezo ya kitoto ya Miaka ya 70 ambapo propaganda ndo zilikuwa na nguvu kuliko ukweli.
Napenda kumaliza kwa kusema vyovyote vile kwa kuungwa mkono na Membe au kutoungwa mkono na Membe, Watanzania tumeshaamua mwaka huu kuwa tunaenda na Tundu Antiphas Lissu. Mpakwa mafuta wa Mungu aliyeponywa risasi 16.
Viva Lissu, Viva Chadema.
#LissuforPresident
Sana CCM 100% HAIJAWAHI TOKEA. Furaha Hii ni kwa sababu Kuu kuwa ile siku yetu muhimu i karibu sana. Tumebakiza siku Saba watanzania tuandike historia kuu, itakayosomwa na kuheshimiwa na vizazi na vizazi.[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]
Namemshitukia baada ya kumsimisha,hivyo imebidi wabadili gia angani.
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisa!! Historia tunayoenda kuiweka watanzania hapo tarehe 28 hakuna kizazi cha Tanzania itaisahau Milele na milele. Ccm tunaenda kuiangusha rasmi na kumuweka Tundu Antiphas Lissu madarakani. Kama Mungu aishivyo hil linaenda kutimia kwa Jina la Yesu Kristo!. Furaha Hii ni kwa sababu Kuu kuwa ile siku yetu muhimu i karibu sana. Tumebakiza siku Saba watanzania tuandike historia kuu, itakayosomwa na kuheshimiwa na vizazi na vizazi.[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]
Bomu la machozi tu, spidi mia 20 nyumban ...hahahNi Heri wachache tuumie na hata tuuwawe mwaka huu ila vizazi na vizazi vijavyo vya Tanzania viishi katika Tanzania bora yenye haki na maendeleo ya kweli ya watu na vitu.
JPM=90%Mabadiliko lowasa, lowasa mabadiliko huku mnazungusha mikono kama manyumbu. Walipasuka 2015,mkashindwa kuingia sasa jembe kaja kaziba upenyo. Mwaka huu kipondo mtakachopata, kitakuwa funzo la karne. Mungu mbariki John Pombe Magufuli.
Nani kawambia tutakimbia nyumbani???Bomu la machozi tu, spidi mia 20 nyumban ...hahah
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Tena imefeli vibaya saaaana!!!Membe project ya CCM iliyofeli kabla haijaanza.
Huyu huyu mzee asiyejua kujieleza...aisee
Leo mnamkana wakati mlishadadia kuja kwake na mlimsifu kuwa yule ni Kachero mbobezi leo mnaanza kumponda. Tulieni sindano iwaingia vizuri, sasa anakwenda kukinukisha mahakama kuu.Mliambiwa mtengeneze assets zenu kwa kukuza vipaji lakini kila kukucha mnasubiri wahamiaji toka ccm. Jinga wapinzani, mwaka huu mnakwenda kushindwa vibayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaJasusi akiwa bado asset hajitambulishi wala hawajulikani huwezi kuwa jasusi halafu ukajianika huyo sio jasusi mbobezi. ila huyu ni kama alivyokuwa kina Sumaye wale walitumwa kazi maalumu ila CDM wakashtuka mapema kabla ya uchaguzi. 2015 habari nyingi zilipenyezwa CCM hata wale waliohama kama kina Silinde na yule aliyekuwa mkuu wa wilaya Dodoma wale ni walitumwa tu. Sumaye kwenye ule mkutano walioitwa ikulu wastaafu wote akajisahahu na kusema, kuwa kwangu upinzani ni kwa manufaa ya CCM, hapo nikajuwa mzee kajisahahu watu wakamshtukia wakamlia timing kumdhalilisha, uchaguzi wa Pwani mgombea pekee hana upinzani akapigwa chini kwa aibu. revenge done.
Utajua kama imefeli siku ya ijumaa, hakikisha unazo pilton za kutosha mfukoni, vinginevyo hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiMembe project ya CCM iliyofeli kabla haijaanza.