Membe ana njaa???? Moja ya Madoni wa Lindi,Membe ni mmoja wao!
1. Walipopanga CRDB Lindi,lile ni jengo la Membe kwa taarifa yako
2. Sea View Hotel,moja ya Hotel nzuri Lindi ni ya Membe
3. Unaijua Ledger plaza Hotel pale Kunduchi Dar Es Salaam?? Zile zilikua pesa za Gaddaf,walipiga kina Membe wakanunua pale! Yule jamaa hana njaa!
4. Sijui pension yake,lakini itakua ni nzito tu,kwa cheo kile alichokua nacho!
5. Na mwisho kabisa,Membe ni Jasusi tena Jasusi kweli kweli,acha hawa vijana wa leo,kutwa nzima kutoa basitola bar,nakugombea ma barmaids