Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

Mama ameshaeneaaaa......

Chezea Amiri Jeshi na mwenyekiti wa CCM weweee.......🀣

ADUMU CHIFU MKUU HANGAYA
ADUMU CHIFU WETU MKUU HANGAYA aaamen aaamen πŸ™
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜πŸ˜ Zidumu pia fikra sahihi za Chief Mkuu Hangaya. πŸƒπŸƒ
 
Ikifikia hapa siasa huwa ngumu saana, yaani mtu unashiriki kumtimua katika chama afu baada ya muda anaibuka tena mwenye mamlakq kukuzidi ndani ya chama ..laah

Kweli kuchimba kaburi kupokezana chepe!!
 
Ukisikia mwanasiasa anaongea fungua dirisha uone ni mweusi au mweupe. Kama ni mweupe Zima taa au funga milango, kama ni mweusi washa taa
 
Ndiyo maana wahenga walihimiza kuheshimu "muda".
Miezi minane iliyopita Bashiru, Polepole na Musiba walikuwa wana wa mfalme waliojaa nyodo, dharau na majivuno.
Lakini leo wako wapi?
Wamebaki yatima, wanamuogopa kila mtu.
 
Hahahaa kwamba anawaza ukampeni manager dah.
 
Upo sahihi kuwa Magufuli kwa kiasi fulani alimuogopa Paul Makonda lakini nakuhakikishia Kati watu ambao Magufuli aliwaogopa sana na kuwaheshimu tena kwa kiasi kikubwa akiwa Rais wa Tanzania ni wawili tu ni Kadinali Pengo na Benjamin Mkapa waliobaki wote walikuwa wanaujua moto wake hata huyo sabaya.
 
Huyu mzee wa Kupewa nchi 2025 ni mwanadiplomasia aliyepitia majaribu mbalimbali awamu ya 5 na kuyafaulu
Uliza kadi ya membe ni namba ngapi CCM na usalama ndio utajua mzee wa kalamu nyekundu anawacheki tu.

Wapi polepole na Bashiru?
 
njaa zinatofautiana. mtu anaepata mlo mmoja na mwingine milo miwili wote wana njaa
 
Magufuli alimfanyia figisu Membe,hatma yake kafa ,kawaacha watu wanakula bata Kama kawaida,

Mzee alikuwa na chuki sana
Haya mwambie huyo bibi amrudishe chamani na 2025 aruhusu watu kuchukua fomu kuutaka urais akiwemo bwana Membe.
 
Hii nchi unatakiwa ujue nani wa kupatana naye nani wa kuwa naye adui wapi uguse wapi upaache tu kama ulivyopakuta n.k
 
Wakati Ukuta ukipambana nao utahumia mwenyewe, wakati unasema, Na kwa Mzee Membe wakati unasema.
 
Hii nchi unatakiwa ujue nani wa kupatana naye nani wa kuwa naye adui wapi uguse wapi upaache tu kama ulivyopakuta n.k

Ni jambo la muhimu sana.... Ni decision ukiikosea unaweza kujuta maisha yako yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…