Bernard Membe yupo kweli?

Kama unashida naye mpigie simu usituchoshe
 
"Ukishindwa kumjua adui yako utapigana vita isiyo sahihi"

Ishu si Magufuli, ni CCM.
 
Kama kweli Membe alikuwaga jasusi, basi atakuwa alikuwa jasusi wa hovyo sana.
Usiropoke vitu usivyovijuwa, Membe alikuwa anaongoza directorate nyeti idarani.

Kama hujui aliyemlipuwa Dr Hans Kitine kwa invoice fake ya matibabu ya mke wa Kitine Canada ni Benard Membe, na ukumbuke Kitine alishakuwa mkurugenzi wa hiyo idara hapo nyuma.

Membe yupo ccm, kinachoendelea ni mazingaombwe tu ya ccm, Membe ni mtu wa system na akuhitajika kutowa ushirikiano idarani lazima atowe.
 
Nakubaliana na kwamba 'jasui mbobevu' sio tu ni dhaifu, lakini pia hana hata mvuto kabisa! ila sikubaliani na wewe katika hili la TAL Sera ni wakati wa kampeni! Na hata katika anachokizungumza anapokutana na wananchi wanamwelewa vizuri katika kile anachokizungumza na kuishia kumwaga machozi! Wanalia sio kwa sababu alichotendewa yeye, bali wanalia pale TAL anapowaeleza athari zinazotokana na utawala huu!
 
Issue ndogo sana hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…