City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Huyu Membe yuko overrated hana lolote.
.
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasaka wadhamini kijasusi mkuu. Usikute watu wa Magufuli ndiyo wanaomtembezea fomu za kusaka wadhamini bila ya wao kujua. Achana na jasusi.Sasa huyo ‘jasusi mbobezi’ yeye yuko wapi?
Kapotea hata kampen hazijafika muda wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duhWewe ni Ngabu kweli, Sisi kwetu Jina Ngabu linamaanisha, ni mtu ambaye Kwa Wakati Fulani, njaa imemshika,bahati Nzuri pengine akakutana na mtu akampatia karanga za kutafuna, Wakati wakiachana tu na huyo mtu aliyemgea karanga, Mbele yake akamwona mtu ambaye naye ananjaa, huyo mtu akataka kuomba karanga Ili ale, matokeo yake aliyeombwa, akaztupia zote mdomoni mwake akimwambia Yule jamaa aliyeomba kuwa, nimemaliza karanga na mdomo umejaa karanga asiweze hata kuongea vizuri, hiyo ndio inaitwa amezi Ngabu
Kwani campaign tayari shosti auAnayevuma kwa sasa ni Tundu Lissu tu.
Na si kwamba anavuma kwa sababu ana sera bora na anazinadi kwa ustadi!
La hasha.
Anavuma tu kwa kelele kelele anazozipiga akiwa huko kwenye mizunguko yake ya kutafuta wadhamini.
Sasa ikija kwa Bernard Membe, si ajabu ukimwuliza Mtanzania wa kawaida barabarani kuwa jana au leo Membe alikuwa wapi, sidhani kama kuna mtu ataweza kukuambia.
Kwa Lissu hali ni tofauti kabisa. Majuzi ile alikuwa Ikungulyabashashi. Juzi alikuwa sijui Arusha au Kilimanjaro. Jana alikuwa Iringa au Morogoro....
Sasa huyo ‘jasusi mbobezi’ yeye yuko wapi?
Hata vile vijembe vyake dhaifu kule Twitter naona hatoi tena.
Isije akawa keshaguswa na sasa ananuka!
Jamaa ni dhaifu sana. Siasa naona haimkubali. Haiba yake haiendani na mikikimikiki na mashamsham ya kisiasa.
Popote alipo anajua sasa maana ya kiherehere ukishazeeka kina gharama ganiHahahahaaa! ila yeye anajiona ni bonge la mgombea dunia haishi vituko hii.
BM anashangaa jinsi watu waliosema wako nyuma yake walivyokimbia
Unachokisema na anachofanya muuzaji Lissu ni vitu viwili tofauti. Itoshe tu kusema Magufuli mitano mingine. Najua unaumia lakini haina namna vumilia tu Ikulu si mahali pa wauza nchi kama akina Lissu. Bahati nzuri hata yeye mwenyewe Lissu hatajipigia kura, atampigia JPM, the best of the best presidents in Africa.Dogo tuseme hili mara ngapi ili uelewe? Tume bado haijapitisha wagombea, kwahiyo hakuna kitu kama hicho. Ni propaganda za WAHUNI WACHACHE huko CCM, umeelewa sasa?
ITOSHE TU KUSEMA, MITANO YA UTAWALA HUU WA MKONO WA CHUMA SASA BASI..
Hapo alikuwa wapi? Huyo bodyguard wake mbona kachoka sana? Hivi ni mbobevu kweli huyu au janja janja tuMembe yupo japo mambo sio mambo
Jasusi kasimamisha kampeni kwa muda usiojulikanaJasusi ana hali gani huko kwenye campaign trail?
Kweli?Jasusi kasimamisha kampeni kwa muda usiojulikana
kabisa mkuuKweli?
🤣🤣🤣Membe yupo japo mambo sio mambo
Zitto kamtosa mwenzake.....Zitto noma sana aisee.CCM waliona mbali maana jamaa angeishia njiani kama hivi na kumuunga mkono mgombea wa upinzani.