kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Endelea Mkuu, mwaga hizo data….ndio maana tuko hapa JF, kwa ajili ya mambo kama haya..Kama ana Mahusiano na DJ Mmoja maarufu wa Kike wa Redio moja Kubwa nchini ambaye anavuta Bangi na Kubwia Unga mwenye IST Nyeusi na aliyepanga Mbezi Maua kwa Rubani unategemea na Yeye Bernard Morisson atakuwa na Akili au sawa sawa Kichwani?
Niendelee au niishie tu hapa juu yake?
na alijimaliza mwenyewe pale stet hausDakika za mwisho Morrison alianza kucheza mpira mzuri wa kuonyesha anajutia na anaomba nafasi ya kurekebisha upumbav wake alioufanya, alicheza mpira wa kuonyesha anahitaji kubaki Yanga na alitambua kwa ujinga alioufanya mpira wa hizi team kubwa hazimtaki zimemchoka... Babati mbaya imekuwa too late kwasasa hizi Club kubwa 2 hawana interest naye...
Huyo dj ni dj Mamiebaby nini???? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kama ana Mahusiano na DJ Mmoja maarufu wa Kike wa Redio moja Kubwa nchini ambaye anavuta Bangi na Kubwia Unga mwenye IST Nyeusi na aliyepanga Mbezi Maua kwa Rubani unategemea na Yeye Bernard Morisson atakuwa na Akili au sawa sawa Kichwani?
Niendelee au niishie tu hapa juu yake?
Utafungwa mkuu huyo siyo dj n presenter Tena mke wa katibu mkuu DK AbbasHuyo dj ni dj Mamiebaby nini???? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Aaaah nisamehe namaanisha yule dj wa wasafi ambaye huwa havai hata bra[emoji28][emoji28][emoji28]Utafungwa mkuu huyo siyo dj n presenter Tena mke wa katibu mkuu DK Abbas
Sent using Jamii Forums mobile app
Kongole kwao,aende Simba sasaBernard Morrison aachwa Rasmi na Yanga SC.
Kama klabu imethubutu mazima kuachana na huyu mwamba basi nina uhakika kuna kitu kinapikwa jikoni.
Nafahamu kuwa alikuwa option ya muda mfupi katika msimu huu, licha ya kuwa alikosea kwa kukubali pesa iliyotia najisi katika kipaji chake hata kushuka uwezo na kipaji kupungua.
Nafahamu kama angebaki njia kuu basi angefanikiwa kulinda uwezo wake na kupata fursa ya kusalia klabuni.
Asanteni kwa uthubutu viongozi wetu.
View attachment 2664735
Hiyo ndo sababu!?Dharau kwa Rais wa nchi sio jambo la kuvumilika.
Nadhan dj SINYORITAAaaah nisamehe namaanisha yule dj wa wasafi ambaye huwa havai hata bra[emoji28][emoji28][emoji28]
Nakubaliana na msemo wako wa kipaji bila nidhamu......!Daaah huyu jamaa angetulia mapepe yake angekuwa mchezaji mzuri sana
Issue kubwa hapo ni utovu wa nidhamu tu hakuna kingine maana kama mpira jamaa anaujua hasaa, alikuwa anawadharau mabosi wake wakaweza kumvumilia ila kwa Mh Rais ni too much.Hiyo ndo sababu!?
kwani hujui hz timu wamiliki wake halisi ni akina nani?Hiyo ndo sababu!?
Mamiebaby ni Dj toka Lini?Huyo dj ni dj Mamiebaby nini???? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]