Bernard Morrison aachwa rasmi na Yanga SC

Bernard Morrison aachwa rasmi na Yanga SC

Kama ana Mahusiano na DJ Mmoja maarufu wa Kike wa Redio moja Kubwa nchini ambaye anavuta Bangi na Kubwia Unga mwenye IST Nyeusi na aliyepanga Mbezi Maua kwa Rubani unategemea na Yeye Bernard Morisson atakuwa na Akili au sawa sawa Kichwani?

Niendelee au niishie tu hapa juu yake?
Endelea Mkuu, mwaga hizo data….ndio maana tuko hapa JF, kwa ajili ya mambo kama haya..
 
alikuwa hajui soka la BONGO ndiyo SIASA za Bongo! Kazi anayooo
 
Dakika za mwisho Morrison alianza kucheza mpira mzuri wa kuonyesha anajutia na anaomba nafasi ya kurekebisha upumbav wake alioufanya, alicheza mpira wa kuonyesha anahitaji kubaki Yanga na alitambua kwa ujinga alioufanya mpira wa hizi team kubwa hazimtaki zimemchoka... Babati mbaya imekuwa too late kwasasa hizi Club kubwa 2 hawana interest naye...
na alijimaliza mwenyewe pale stet haus
 
Kama ana Mahusiano na DJ Mmoja maarufu wa Kike wa Redio moja Kubwa nchini ambaye anavuta Bangi na Kubwia Unga mwenye IST Nyeusi na aliyepanga Mbezi Maua kwa Rubani unategemea na Yeye Bernard Morisson atakuwa na Akili au sawa sawa Kichwani?

Niendelee au niishie tu hapa juu yake?
Huyo dj ni dj Mamiebaby nini???? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Bernard Morrison aachwa Rasmi na Yanga SC.

Kama klabu imethubutu mazima kuachana na huyu mwamba basi nina uhakika kuna kitu kinapikwa jikoni.

Nafahamu kuwa alikuwa option ya muda mfupi katika msimu huu, licha ya kuwa alikosea kwa kukubali pesa iliyotia najisi katika kipaji chake hata kushuka uwezo na kipaji kupungua.

Nafahamu kama angebaki njia kuu basi angefanikiwa kulinda uwezo wake na kupata fursa ya kusalia klabuni.

Asanteni kwa uthubutu viongozi wetu.

View attachment 2664735
Kongole kwao,aende Simba sasa
 
Hiyo ndo sababu!?
Issue kubwa hapo ni utovu wa nidhamu tu hakuna kingine maana kama mpira jamaa anaujua hasaa, alikuwa anawadharau mabosi wake wakaweza kumvumilia ila kwa Mh Rais ni too much.
 
Back
Top Bottom