Bernard Morrison atupa kijembe kwa uongozi wa Simba SC

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Baada ya sakata la release letter kupamba Moto ambapo inadaiwa Morrison aliomba apewe barua ya kuwa huru then uongozi wa Simba uligoma na kutaka club inayomtaka ndio iende ili wapate chochote Kitu ( umaskini).

Jana Morrison amepost kijembe kwenye ukurasa wa Instagram na kumtag @harmonize tz kuandika Kama hivi:

"Sasa nitaimba kwenye club kwa pesa kutoka wiki hii [emoji1751] sitahitaji barua kuimba [emoji23] au @harmonize tz unasemaje?"

Huyu ni Morrison mzee wa kukela

FB_IMG_16558735935764793.jpg
 
Morrison anajua kutafuta hela, yani anatumia akili ndefu kuishi na mawenge ya sisi watanzania tulio na upungufu wa vipaji vya soka.

Ghana hawezi kuleta udwanzi wa dzain hivyo maana kumesheheni vipaji vya kutosha. Wachache watamwona mwehu ila anajua kucheza na mindset za wabongo
 
Morrison anajua kutafuta hela, yan anatumia akili ndefu kuish na mawenge ya sisi watanzania tulio na upungufu wa vipaji vya soka. Ghana hawezi kuleta udwanzi wa dzain hyo maana kumesheheni vipaji vya kutosha. Wachache watamwona mwehu ila anajua kucheza na mindset za wabongo
Vp lkn uwezo wake.....unauonaje
 
Morrisson ni hustler amekuja kutafuta hela..

Yeye anachotaka ni mshahara mkubwaa tu. Na signing fee kubwaaa

Fikiria simba alimkuta chama na konde boy wanatisha sana, Ila bado yeye morrisson akawa analipwa mshahara mkubwa kuliko hao huku hachezi kila mechi.

Yanga hapo kama anaenda tena mara ya pili Morrison alivyo mjanja mjanja kwenye pesa, anaenda lipwa mshahara mkubwa kuliko Mayele na Aucho
 
Morrisson ni hustler amekuja kutafuta hela..

Yeye anachotaka ni mshahara mkubwaa tu.

Fikiria simba alimkuta chama na konde boy wanatisha sana, Ila bado yeye morrisson akawa analipwa mshahara mkubwa kuliko hao huku hachezi kila mechi.

Yanga hapo kama anaenda tena mara ya pili morrison alivyo mjanja mjanja kwenye pesa, anaenda lipwa mshahara mkubwa kuliko mayele na aucho
Una fikra duni.!
 
Morrison anajua kutafuta hela, yan anatumia akili ndefu kuish na mawenge ya sisi watanzania tulio na upungufu wa vipaji vya soka. Ghana hawezi kuleta udwanzi wa dzain hyo maana kumesheheni vipaji vya kutosha. Wachache watamwona mwehu ila anajua kucheza na mindset za wabongo
Leo nimeumia sana pale Uwanja wa Taifa.

Nimeamini Lugha(English) ni tatizo kubwa kwetu Watanzania! Kuna wanaijeria walifika pale, mlango wa kuwasikl (Arrival) wakitaka kuingia ndani!

Wale jamaa wakafosi kuingia kupitia mlango ule bila kukaguliwa, sasa kwakuwa wao wanajua English, na pale wenzangu (walinzi hawajui) lugha, ikawa lugha gongana!

Jamaa wakawa wanatukana tena kwa ubabe, mwisho wa siku wakaingia bila kukaguliwa!

Nilicho observe pale mpaka wao kuingia kibabe, ilikuwa ufahamu finyu wa lugha kwa wenzetu!

Hakika watanzania itatuchukua muda mrefu sana katika soko la ushindani kimataifa, na tatizo kuu ikiwa ni Lugha.

Morison, anacheza na akiki ya hizi timu sababu kuu ni exposure aliyonayo!
 
nina imani safari hii atawapelkea ndugu zake wa gana jezi za GSM wakafanyie mazoezi kama alivyo fanya akiwa Simba...
Hapana mkuu...moo Ni kampuni kubwa kuliko GSM
 
Morrisson ni hustler amekuja kutafuta hela..

Yeye anachotaka ni mshahara mkubwaa tu. Na signing fee kubwaaa

Fikiria simba alimkuta chama na konde boy wanatisha sana, Ila bado yeye morrisson akawa analipwa mshahara mkubwa kuliko hao huku hachezi kila mechi.

Yanga hapo kama anaenda tena mara ya pili morrison alivyo mjanja mjanja kwenye pesa, anaenda lipwa mshahara mkubwa kuliko mayele na aucho
Hapana mkuu.....alikuja yy mwenyewe kupiga goti kwa GSM.....so hatalipwa sana
 
Leo nimeumia sana pale Uwanja wa Taifa.

Nimeamini Lugha(English) ni tatizo kubwa kwetu Watanzania! Kuna wanaijeria walifika pale, mlango wa kuwasikl (Arrival) wakitaka kuingia ndani!

Wale jamaa wakafosi kuingia kupitia mlango ule bila kukaguliwa, sasa kwakuwa wao wanajua English, na pale wenzangu (walinzi hawajui) lugha, ikawa lugha gongana!

Jamaa wakawa wanatukana tena kwa ubabe, mwisho wa siku wakaingia bila kukaguliwa!

Nilicho observe pale mpaka wao kuingia kibabe, ilikuwa ufahamu finyu wa lugha kwa wenzetu!

Hakika watanzania itatuchukua muda mrefu sana katika soko la ushindani kimataifa, na tatizo kuu ikiwa ni Lugha.

Morison, anacheza na akiki ya hizi timu sababu kuu ni exposure aliyonayo!
Nadhani Simba....ndio aliwachezea mchezo
 
Leo nimeumia sana pale Uwanja wa Taifa

Nimeamini Lugha(English) ni tatizo kubwa kwetu Watanzania! Kuna wanaijeria walifika pale, mlango wa kuwasikl (Arrival) wakitaka kuingia ndani!

Wale jamaa wakafosi kuingia kupitia mlango ule bila kukaguliwa, sasa kwakuwa wao wanajua English, na pale wenzangu (walinzi hawajui) lugha, ikawa lugha gongana!

Jamaa wakawa wanatukana tena kwa ubabe, mwisho wa siku wakaingia bila kukaguliwa!

Nilicho observe pale mpaka wao kuingia kibabe, ilikuwa ufahamu finyu wa lugha kwa wenzetu!

Hakika watanzania itatuchukua muda mrefu sana katika soko la ushindani kimataifa, na tatizo kuu ikiwa ni Lugha.

Morison, anacheza na akiki ya hizi timu sababu kuu ni exposure aliyonayo!
Uwanja wa TAIFA au AIRPORT?
 
Lakini ndio tujifunze kuwa kwenye maisha roho mbaya huwa hailipi. Simba wangempa Morison tu hiyo barua kiroho safi kama walivyomuacha kiroho safi leo wangejijengea heshima hata kwa wachezaji wengine. Lakini walichokifanya kwa kweli hata baadhi ya wachezaji watajiuliza mara mbili kabla ya kusaini huko Simba. Ifike mahali Simba wajitambue kuwa wao ni klabu sana Afrika kwa hiyo waache uswahili uswahili. Sasa hivi hata vyombo vya habari vikubwa tu ukipita mitandaoni namna vinavyoandika habari za Simba ni kwa uzito fulani lakini Simba wenyewe wala hata hawajitambui kuwa wana hadhi gani kwenye soka la Afrika kwa sasa.
 
Acha kulia Lia, Sheria Inasemaje khs Simba kutoa hio barua?
 
Back
Top Bottom