Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Baada ya sakata la release letter kupamba Moto ambapo inadaiwa Morrison aliomba apewe barua ya kuwa huru then uongozi wa Simba uligoma na kutaka club inayomtaka ndio iende ili wapate chochote Kitu ( umaskini).
Jana Morrison amepost kijembe kwenye ukurasa wa Instagram na kumtag @harmonize tz kuandika Kama hivi:
"Sasa nitaimba kwenye club kwa pesa kutoka wiki hii [emoji1751] sitahitaji barua kuimba [emoji23] au @harmonize tz unasemaje?"
Huyu ni Morrison mzee wa kukela