Vp lkn uwezo wake.....unauonajeMorrison anajua kutafuta hela, yan anatumia akili ndefu kuish na mawenge ya sisi watanzania tulio na upungufu wa vipaji vya soka. Ghana hawezi kuleta udwanzi wa dzain hyo maana kumesheheni vipaji vya kutosha. Wachache watamwona mwehu ila anajua kucheza na mindset za wabongo
Una fikra duni.!Morrisson ni hustler amekuja kutafuta hela..
Yeye anachotaka ni mshahara mkubwaa tu.
Fikiria simba alimkuta chama na konde boy wanatisha sana, Ila bado yeye morrisson akawa analipwa mshahara mkubwa kuliko hao huku hachezi kila mechi.
Yanga hapo kama anaenda tena mara ya pili morrison alivyo mjanja mjanja kwenye pesa, anaenda lipwa mshahara mkubwa kuliko mayele na aucho
Punguza mhahoKumbe ana kiswahili kilichonyooka hv, huyu kashakua mtanzania halisi
Leo nimeumia sana pale Uwanja wa Taifa.Morrison anajua kutafuta hela, yan anatumia akili ndefu kuish na mawenge ya sisi watanzania tulio na upungufu wa vipaji vya soka. Ghana hawezi kuleta udwanzi wa dzain hyo maana kumesheheni vipaji vya kutosha. Wachache watamwona mwehu ila anajua kucheza na mindset za wabongo
Hapana mkuu.....alikuja yy mwenyewe kupiga goti kwa GSM.....so hatalipwa sanaMorrisson ni hustler amekuja kutafuta hela..
Yeye anachotaka ni mshahara mkubwaa tu. Na signing fee kubwaaa
Fikiria simba alimkuta chama na konde boy wanatisha sana, Ila bado yeye morrisson akawa analipwa mshahara mkubwa kuliko hao huku hachezi kila mechi.
Yanga hapo kama anaenda tena mara ya pili morrison alivyo mjanja mjanja kwenye pesa, anaenda lipwa mshahara mkubwa kuliko mayele na aucho
Nadhani Simba....ndio aliwachezea mchezoLeo nimeumia sana pale Uwanja wa Taifa.
Nimeamini Lugha(English) ni tatizo kubwa kwetu Watanzania! Kuna wanaijeria walifika pale, mlango wa kuwasikl (Arrival) wakitaka kuingia ndani!
Wale jamaa wakafosi kuingia kupitia mlango ule bila kukaguliwa, sasa kwakuwa wao wanajua English, na pale wenzangu (walinzi hawajui) lugha, ikawa lugha gongana!
Jamaa wakawa wanatukana tena kwa ubabe, mwisho wa siku wakaingia bila kukaguliwa!
Nilicho observe pale mpaka wao kuingia kibabe, ilikuwa ufahamu finyu wa lugha kwa wenzetu!
Hakika watanzania itatuchukua muda mrefu sana katika soko la ushindani kimataifa, na tatizo kuu ikiwa ni Lugha.
Morison, anacheza na akiki ya hizi timu sababu kuu ni exposure aliyonayo!
Uwanja wa TAIFA au AIRPORT?Leo nimeumia sana pale Uwanja wa Taifa

Manara alikuja pia kwa kupiga goti, lakini analipwa pesa ndefu kuliko BumbuliHapana mkuu.....alikuja yy mwenyewe kupiga goti kwa GSM.....so hatalipwa sana
Acha kulia Lia, Sheria Inasemaje khs Simba kutoa hio barua?Lakini ndio tujifunze kuwa kwenye maisha roho mbaya huwa hailipi. Simba wangempa Morison tu hiyo barua kiroho safi kama walivyomuacha kiroho safi leo wangejijengea heshima hata kwa wachezaji wengine. Lakini walichokifanya kwa kweli hata baadhi ya wachezaji watajiuliza mara mbili kabla ya kusaini huko Simba. Ifike mahali Simba wajitambue kuwa wao ni klabu sana Afrika kwa hiyo waache uswahili uswahili. Sasa hivi hata vyombo vya habari vikubwa tu ukipita mitandaoni namna vinavyoandika habari za Simba ni kwa uzito fulani lakini Simba wenyewe wala hata hawajitambui kuwa wana hadhi gani kwenye soka la Afrika kwa sasa.