best maandazi recipe


Unataka nipike?
 

 
Hivi samli haya mafuta yapo tena DSM! ? mkuu fakhina kama usipopata samli mbadala yake ni mafuta gani?
 
Hivi samli haya mafuta yapo tena DSM! ? mkuu fakhina kama usipopata samli mbadala yake ni mafuta gani?


Samli mbona zipo....mbadala wa samli ni mafuta yoyote ya kula
 

duh! nayaemagine yalivyo matamuuuu
 
Asante sana maandazi yalikua yananipa taabu sana kwani nikipika huwa napenda yawe laini lkn sivyo inavyokua . Ngoja nirekebishe.
 
Kuongezea ukitaka upate andazi zuri hata usipotia yai tia tui zito la nazi tazama unga wako ukiwa mgumu andazi linakuwa halfcake uwe kiasi laini
 

Attachments

  • Toronto-20140514-01967.jpg
    424.3 KB · Views: 214
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…