Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Na mie napenda lilojaa nyama kama hili..ukiona andazi limevimba ujue ndani hamna kitu lol
Namsaidia. Siagi ni margarine/butter ile tunapaka kwenye mikate ya slices. Samli ghee ni ile tunatumia kupikia hata kwenye vitu vya kukarangiza pia tunatumia kama. Mfano wa samli ni aseel, cowboy, tanband kismayuu n.k.
Kuh tui la nazi au maji, ni makisii tu coz unakanda na dough yako iwe kiasi kama inavokua ya chapati. Kwa kuongezea atakuja mwenyewe chief cook farkhina
Mm linone kabisaa nyama ndani ilimradi liive. Hapo nitahisi nakula andazi!! Na mate yalee yanatrremka kooni..lol
Lol, mi lilokua halina nyama naliita kiraka. Na hua halilali, likilala asubuh linakua gumu tofauti na lilojazia nyama ndani
Ahsanta habibty. Vp haya yanafaa kuweka ile bizari tam? Mana mi napenda kuweka bizari tam yanakua yana ladha nzuri.
Asante mpenzi, weekend hii ngoja nimpikie mwanangu. Jumamosi vitumbua vya nyama, jioni maandazi ili yaliwe asubuhi jumapili.
Be blessed

Bizari tamu ndo ipi tena?
Hivi viungo vingefunguliwa thread yake special ya kuonyesha picha, Vinaitwaje in English na Kiswahili. Kiswahili chenyewe cha Pemba, Dar ama Mombasa manake vinatfautiana.
Tusije tia binzari kwenye chai, lol.
Asante mpenzi, weekend hii ngoja nimpikie mwanangu. Jumamosi vitumbua vya nyama, jioni maandazi ili yaliwe asubuhi jumapili.
Be blessed
Mwenzangu mie nashindwa ku upload picha sasa. Lkn bizari tamu ipo km uzile ( bizari ya pilau). Sema bizari tamu inakua nene, wengine wanaita bizari nene. Huwa inatiwa kwenye zile tosi za pemba pia
Jamani munaniitia utamu wangu kiraka.
Yaani nitapika viraka vyangu, nitakula na siwakaribishi ng'ooooo.
Ahsanta habibty. Vp haya yanafaa kuweka ile bizari tam? Mana mi napenda kuweka bizari tam yanakua yana ladha nzuri.
Namsaidia. Siagi ni margarine/butter ile tunapaka kwenye mikate ya slices. Samli ghee ni ile tunatumia kupikia hata kwenye vitu vya kukarangiza pia tunatumia kama. Mfano wa samli ni aseel, cowboy, tanband kismayuu n.k.
Kuh tui la nazi au maji, ni makisii tu coz unakanda na dough yako iwe kiasi kama inavokua ya chapati. Kwa kuongezea atakuja mwenyewe chief cook farkhina
Fennel seeds mpenzi 🙂
Mie hupenda kula na soup ya kuku na chai ya maziwa
@Farkhina, supu ya kuku au mchuzi wa kuku?